Mimi niliacha kuiangalia hiyo stesheni muda mrefu sana. Wana tabia ya kuwapendelea sana Magwanda, sijui wamepewa hela na Mbowe?
Mnafiki utamjua tu. TBC1 ni CCM watu tulishaacha kuangalia hiyo TV siku nyingi sana kwa sababu ya kuipendelea CCM.Mimi niliacha kuiangalia hiyo stesheni muda mrefu sana. Wana tabia ya kuwapendelea sana Magwanda, sijui wamepewa hela na Mbowe?
umeona eh. toka lini wezi wakaumbuana. TBS wanatumia kodi zetu vibaya kubeba vikojozi. mwizi mwenzao haku reach target. watamwonyesha kweli kumuumbua. Jiulize tu swali 1. Kuwa Magamba wanapata bilioni moja kama Ruzuku + miradi yao ya dhulma kama Mkwakwani stadium,KIrumba pengine nawe unajua kidogo lakini hazitoshi hata kushusha kwenye wilaya na kata zao. Lakini kwenye uchaguzi hata wa mwenyekiti wa kijiji sehemu ambayo ina upinzani utaona mbwembwe na matumizi makubwa ya Fedha. Je Fedha hizo zinatoka wapi kama si kwenye kodi zetuMasaburi alikuwa na akili kuwashirikisha siri ya fikra zenu zinapotoka. Kila mtu anajua TBC1 ni wapambe wa ccm, sasa wamewasaidia kutoonesha idadi ndogo ya watu kwenye mkutano wenu alafu bado mnalalamika?
Jana saa mbili usiku nilikuwa nikiangalia taarifa ya habari ya TBC1 na habari kuu jana ilikuwa ni kutua kwa mahelkopita huko Igunga kwa ajili ya kutumika katika mikutano ya kampeni. TBC1 walionyesha helkopita ya CCM ikitua na Makamba akapokelewa na Mwigulu na watu wengine. Kisha ikaonyeshwa kwa UFUPI SANA Mwigulu akihutubia na kisha makamba akasikika akisema maneno mawili matatu tu basi. Pia TBC1 haikuonyesha UMATI wa watu ambao hao viongozi wa CCM walikuwa wakihutubia!! Kwa kifupi coverage kwa CCM ilikuwa kidogo sana.
Kisha nikashuhudia coverage ya CHADEMA. Walianza kuonyesha helkopita ikiwa angani na maneno CHADEMA yakionekana, kisha wakaionyesha helkopita ikiwa eneo fulani ambalo naamini ni kituo cha mafuta ikiwa inakunywa mafuta. Baada ya hapo helkopita ya CHADEMA ikaonyeshwa ikitua huko Nkinga na Mwenyekiti wao akashuka na kuhutubia. Kinyume na walivyo cover hotuba ya CCM, hapa Mbowe alipewa muda mreeefu akihutubia kuhusu mambo ya siasa na dini na wakati huohuo TBC1 ikionyesha umati wa watu ambao Mbowe alikuwa akihutubia. Baada ya hotuba TBC1 walionyesha helkpita ya CHADEMA ikituka kuondoka eneo la mkutano.
Kwangu mimi naona TBC1 hawakuitendea haki CCM kwa kuipa coverage kidogo sana hasa juu ya helkopita ambayo imegeuka kuwa ni kete ya kisiasa huko Igunga. Pia TBC1 hawakumuonyesha mpambanaji Magufuli wakati akiunguruma huko Igunga.
Sina chama mpaka sasa,but cdm mkikosa coverage kwenye tbc1 mnalalamika etic hombo kinachoendeshwa na kodi za watz kinependelea chama tawala mkipata coverage tatizo,nahisi kama mkipata nchi mtalipiza kisasi sana,naomba kitokee chama chenye muunganiko wa ccm,cdm,cuf na tlp ntajiunga nacho..
Jana saa mbili usiku nilikuwa nikiangalia taarifa ya habari ya TBC1 na habari kuu jana ilikuwa ni kutua kwa mahelkopita huko Igunga kwa ajili ya kutumika katika mikutano ya kampeni. TBC1 walionyesha helkopita ya CCM ikitua na Makamba akapokelewa na Mwigulu na watu wengine. Kisha ikaonyeshwa kwa UFUPI SANA Mwigulu akihutubia na kisha makamba akasikika akisema maneno mawili matatu tu basi. Pia TBC1 haikuonyesha UMATI wa watu ambao hao viongozi wa CCM walikuwa wakihutubia!! Kwa kifupi coverage kwa CCM ilikuwa kidogo sana.
Kisha nikashuhudia coverage ya CHADEMA. Walianza kuonyesha helkopita ikiwa angani na maneno CHADEMA yakionekana, kisha wakaionyesha helkopita ikiwa eneo fulani ambalo naamini ni kituo cha mafuta ikiwa inakunywa mafuta. Baada ya hapo helkopita ya CHADEMA ikaonyeshwa ikitua huko Nkinga na Mwenyekiti wao akashuka na kuhutubia. Kinyume na walivyo cover hotuba ya CCM, hapa Mbowe alipewa muda mreeefu akihutubia kuhusu mambo ya siasa na dini na wakati huohuo TBC1 ikionyesha umati wa watu ambao Mbowe alikuwa akihutubia. Baada ya hotuba TBC1 walionyesha helkpita ya CHADEMA ikituka kuondoka eneo la mkutano.
Kwangu mimi naona TBC1 hawakuitendea haki CCM kwa kuipa coverage kidogo sana hasa juu ya helkopita ambayo imegeuka kuwa ni kete ya kisiasa huko Igunga. Pia TBC1 hawakumuonyesha mpambanaji Magufuli wakati akiunguruma huko Igunga.
Wee umetumwa na magamba. Haya kachukue posho yako kama unalipwa kwa post. Unaweza itenganisha vipi TBC na magamba wakati ni kitu kilekile? Ile TBC si ni idara ya uenezi ya magamba