TBC1 haitaonesha michuano ya kombe la dunia live

TBC1 haitaonesha michuano ya kombe la dunia live

Status
Not open for further replies.
yaani taifa stars inacheza fainali huko brazil halafu tv ya taifa haionyeshi..sisi tuko sawa kweli?

nafikiri ingekua ccm mpaka usiku wa manane wange kua hewani, ihi si tv ya chama cha mapinduzi na sera zake ndio inazo tekeleza,
 
Wanariadha wetu na mabondia huenda kushiriki mashindano ya kimataifa lakini hakuna Tv yoyote ya ndani inayoonyesha sasa haya mamichezo yanayoitwa kombe la dunia ambapo hakuna mchezaji yoyote au nchi yoyote kutoka ukanda wa Afrika mashariki kiherehere cha kuyaonyesha kinatoka wapi wakati hatuna maslahi nayo?
 
Wewe nawe unakaa wapi! hivi hujajua kuwa azam tv zipo chanel nyingi tu ambazo wataonyesha world cup live?, wewe endelea na watu wako matbccm sisi tupo azam tv na world cup kama kawa tutaona live.....
AzamTv hawana Star tv, mpango mzima dira ya dunia ya BBC inayorushwa na Star Tv, Star Tv inapatika star times!
 
hata wasipoonesha,ingekuwa bado tupo analogy ingekuwa shida lakin Digital,macheli kibao tu,chanel ya Mozambique,Mbc 3 nk.
 
TBC CCM unategemea nini?? Wanakusanya hela ya uchaguzi 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom