mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,093
Wanajisumbua tu hakuna atakaenunua hivyo vistar times vyao eti kwa sababu ya kuangalia world cup kwani kuna chanel nyingi kupitia azam tv ambazo zitaonyesha haya mashindano makubwa kabisa kwa mpira wa miguu hapa duniani. TBC wamechemka na huyo mshana wao wa ccm.