Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,425
Tbc hata mpangilio wa vipindi unawashinda
Enzi Za Tido Muhando TBC ilikuwa Nzuri Sana Ilikuwa na Vipindi Vizuri Sana!Watu Tunaichukia Maana Ni Tv Ya Kusifia Sifia Tu Vitu Vya Hovyo Wapinzani tunaiitaga TBCCMKuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?
Huipendi weweKuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?
Hakuna MTU mwenye akili timamu anaweza kutazama huu uchafu hata wafanyakazi WA TBC huangalia taarifa za za Azam2 au ItvKuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?
Hahahaha!!!Kama mbagala hao ni Cuf wanahasira za julius Mtatiro kuwasaliti lazima wachukie TBCM
sehemu nyingi hadi ktk kumbi za starehe ukiweka hii kitu utaskia 'toaaaaaaa!.toaaaaaaaaaaaa!Uenda sio wa Tanzania ni warudi ulikua mkoa gani?
Bila kusahau dodoma pia..TBC inakubalika zaidi Lii na Mtwara