IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,677
Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?