Tbc yazima satellite international | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc yazima satellite international

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Nov 18, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Watanzania waishio nje ya nchi wametoa malalamiko yao kwa uendeshaji wa kibabe wa Tbc kuzima matangazo yao ambayo walikuwa wanayapata kwa njia ya Satelite
  Tbc imekuwa kama ni Shirika la ccm kwa kuficha maovu yanayofanywa na ccm na Wabunge wao hasa upuuzi mzima unaondelea Bungeni na kutazamwa na Watanzania waishio nje ya nchi
  Chadema tunaomba mchukue nchi mfungulie matangazo ta television yetu yatazamwe na Watanzania waishio nje ya taifa letu
  tabia ya ubinafsi na chuki ya serikali hii ya waovu ina mwisho wake
   
 2. C

  CONECTED GUY Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Matangazo kwisha rudi this morning tayari
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,221
  Trophy Points: 280
  Changia CDM chadema TV iruke hewani
   
 4. Sele Mkonje

  Sele Mkonje Verified User

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 180
  TBCcm ipo hewani ryt naw... Ila jana kweli 2mezungusha madish ye2 mpaka 2kagiveup.
   
 5. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  naombeni link wanajamvi..
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu uko wapi?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Toka yule mshana aingie pale nikajua tu sasa ni km redio Uhru, hakuna lolote la maana TBC sasa hivi
   
 8. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndo mana Tido aliondolewa pale alikua muwazi na mpenda haki sasa wamemuweka mtu wao kaaaazi kweliweli
   
 9. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuuu cheji ya kulipia hakuna.Ruzuku aijatoka mpaka sasa.
   
Loading...