Kama wametubu zambi zao na kuamua kutenda haki nawatakia kazi njema.
Kama ni kutuzuga amin nawaambia bado kitambo kidogo.
Ivi humu JF .. hakuna watu wa CCM.....au ni Unafiki.. maaanaaa kila mtu anajifanya CDM.... AFFUU WENGINE WAZEE WAO MAKADA WA CCM..
. Sorry im out of the thread.. Im jus concerned about that

Naunga mkono hoja¿¿¿¿¿¿¿¿Inawezekana wanabanwa na Wafadhili maana kwa sasa hawana hela na inabidi wapate hela ili walau waishi zaidi huku wakifikiri cha kufanya hapo mbeleni mara Chadema ikiwa juu zaidi.
Watu wakikosa mishahara miezi miwili na huku wao wananunua Maroli 100 kwa mkupuo, basi patakuwa hapatoshi.
Sidhani vyombo kama JF vimelazimisha kwa hali yoyote ile maana jamaa ni viziwi kwa watu wao. Ila akikohoa Mgeruma, UK, USA basi wanakuwa hawana la kufanya ila KUACHIA NYUZI hewani...........