TBC Wazuiwa Kutangaza Matokeo ya Udiwani Arusha

TBC Wazuiwa Kutangaza Matokeo ya Udiwani Arusha

Startv jana saa mbili usiku walitangaza kinafiki kwa kusema mchuano ni mkali.
Baada ya taarifa ya habari, wakatangaza vituo viwili kuwa Chadema wameshinda na watatujulisha vituo vingine baadae.
Asubuhi ya leo saa 12, hawakutangaza habari yeyote ya Chadema. Saa mbili usiku huu pia hawajatangaza habari yeyote ya chadema.
Chadema inapaswa iwe na tv yake.
 
Hata clouds leo kwenye kipindi cha jahazi walikatisha kusoma gazeti la Mwananchi baada ya kukutana na kichwa cha habari "CHADEMA WAITESA ccm"

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kwa sababu ni ndugu yake TBCCM, hivyo ni Clousccm...
 
We muongo mbona jana wametangaza au umetumwa na babu yako slaa upotoshe watu,kama jana ulisikiliza tbc walitangaza.
 
hivi hii channel bado ipo? mara ya mwisho nimeiangalia ikiwa inaitwa TVT siku wanabadili jina nikaacha kabisa, afu kuna hii redio ya wafu nao kwene magazet hawajaongelea wanatumika kama tp.
 
Hiki kweli chama cha waongo, wazushi, wanafiki, wauwaji, walipuaji, wamwagaji damu .sikutegemea tuhuma za vyombo vya habari humu heti hawajatangaza ushindi wa chadema ivi mlitaka iwe ni wimbo wa taifa kila jambo lisimame tuzungumzie cdm tu no haiwezekani tafuteni vyenu mvitawale mtakavyo hamuoni vibaya hata kidogo wengine mlikuwa bar habari zimepita mnaleta utumbo humu......zenu
 
Channel ten mambo yote.Mtangazaji wa zamu alikuwa anatangaza habari za Arusha kwa bashasha.
 
Hiki kweli chama cha waongo, wazushi, wanafiki, wauwaji, walipuaji, wamwagaji damu .sikutegemea tuhuma za vyombo vya habari humu heti hawajatangaza ushindi wa chadema ivi mlitaka iwe ni wimbo wa taifa kila jambo lisimame tuzungumzie cdm tu no haiwezekani tafuteni vyenu mvitawale mtakavyo hamuoni vibaya hata kidogo wengine mlikuwa bar habari zimepita mnaleta utumbo humu......zenu

Ni vema ungeenda kwanza kupiga mswaki!!!
 
Sina hamu na TBC tokea walipopunguza masafa yao ya utangazaji kwenye madishi ili wananchi wengi wasione matangazo hayo. Dawa ni wananchi kutumia nguvu ya umma ili kuwawajibisha wahusika wote.
 
nawashangaa wanaolalamika kwanini TBCCM haipatikani katika madishi
wacha ifie mbali inawatazamaji wachache hasa wale vibaraka wa CCM
ITV nimeona hiyo news kwenye website yao kwa sisi wa madongo kuinana
viva ITV, RIP TBCCM..
 
TBC huwa inaangaliwa na watoto wangu wakati wa sherehe zinazohusisha Halaiki na gwaride! Vinginevyo ni ZUKU mwendo mdundo na chaneli za nguvu!
 
Uko sahihi TBC hamna cha maana kule imagine hata wosia wa mwalimu walifuta, tunashukuru ITV maana hao huwa wana hata kipindi cha mwalimu.
 
jamani kwa nini tbc inatumika vibaya hivyo??mbona imekuwa ni mali ya ccm??yaani wameandikiwa na wamezuiwa kabisa kusoma chochote kuhusu arusha jana, wanatia huruma hata msomaji wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaonekana ameumia basi tu. Haya maelekezo yametoka ikulu na inaonekana mkurugenzi anaogopa yaliyomtokea tido. Watabana mpaka lini?? Mungu ibariki tanzania

not fair \try a little to play fairly
 
Back
Top Bottom