TBC Wazuiwa Kutangaza Matokeo ya Udiwani Arusha

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
1,494
Reaction score
864
Jamani kwa nini TBC inatumika vibaya hivyo??mbona imekuwa ni mali ya CCM??yaani wameandikiwa na wamezuiwa kabisa kusoma chochote kuhusu Arusha jana, wanatia huruma hata msomaji wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaonekana ameumia basi tu. Haya maelekezo yametoka Ikulu na inaonekana Mkurugenzi anaogopa yaliyomtokea Tido. Watabana mpaka lini?? Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi kumbe bado wapo watu wanatizama TBCCCM?,tutapashana habari ktk mitandao mbalimbali ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari visivyoegemea upande wowote achana na TBCCCM mkuu .
 
hata Startv hawajaonyesha chochote mkuu....
sijui kwa ITV!
 
aiseeeeee babayangu kusema ukweli tokea iijue JF sijawai kuangalia tbc na tv za kitanzania coz JF inawazidi si mpira si nafasi za kazi si habari za kimataifa si matokeo ya vifo jf naikubali sana
 
ITV wametwanga kama Sibuka vile na hoja ya Mwalimu Lwaitama.
 
Jamani kwa nini TBC inatumika vibaya hivyo??mbona imekuwa ni mali ya CCM??yaani wameandikiwa na wamezuiwa kabisa kusoma chochote kuhusu Arusha jana, wanatia huruma hata msomaji wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaonekana ameumia basi tu. Haya maelekezo yametoka Ikulu na inaonekana Mkurugenzi anaogopa yaliyomtokea Tido. Watabana mpaka lini?? Mungu Ibariki Tanzania

What did you expect from those poor unfortunate souls?
 
Hata clouds leo kwenye kipindi cha jahazi walikatisha kusoma gazeti la Mwananchi baada ya kukutana na kichwa cha habari "CHADEMA WAITESA ccm"

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
TBC is one of green rebels facility

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Napata shida sana kuelewa hili,pamoja na uwezo wangu mdogo nilionao wa kufikiri, nafikiri hawa wanayoyafanya haya yote wanauwezo wa kusoma na kuelewa alama za nyakati Tanzania ya sasa ina watu wengi wenye uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo (critical analysation) na hii inatokana na elimu mliyowapatia kama urithi...sasa kwa staili hii ya kulazimisha wasomi waigize ujinga kwa maana ya kufanya na kufuata yale ambayo hawakufundishwa madarasani ni hatari kubwa sana kwa kuwa MAADILI YA KISOMI HAYAKO HIVYO,MZIMU HUU WA WASOMI UTAENDELEA KUWASUMBUA MPAKA PALE WOTE TUTAKAPO KAA MGUU SAWA
 
Jamani kwa nini TBC inatumika vibaya hivyo??mbona imekuwa ni mali ya CCM??yaani wameandikiwa na wamezuiwa kabisa kusoma chochote kuhusu Arusha jana, wanatia huruma hata msomaji wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaonekana ameumia basi tu. Haya maelekezo yametoka Ikulu na inaonekana Mkurugenzi anaogopa yaliyomtokea Tido. Watabana mpaka lini?? Mungu Ibariki Tanzania

Who needs TBC when we have the entire world on our fingertips? When we have twitter, whatsapp, viber, skype, JF and thousands of blogs, text messages to and fro... let them work like it is still the 20th century, let them ban all the TV channels, the news will 'definitely' get out there. As they say it in Swahili, 'mambo ya kidigitali'...
 
Kuna siku itafika wao ndio watatafuta habari hizi hizi wanazogoma kuzionyesha sasa....It's just a matter of time...
 
yasipo tokea haya leo hayatapa nafasi wakati mwingine wowote
 
Jamani kwa nini TBC inatumika vibaya hivyo??mbona imekuwa ni mali ya CCM??yaani wameandikiwa na wamezuiwa kabisa kusoma chochote kuhusu Arusha jana, wanatia huruma hata msomaji wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaonekana ameumia basi tu. Haya maelekezo yametoka Ikulu na inaonekana Mkurugenzi anaogopa yaliyomtokea Tido. Watabana mpaka lini?? Mungu Ibariki Tanzania

Mhhhh....hivi katika kizazi hiki bado kuna watu wanaangalia hiki chombo. Kuliko niangalie hiki chombo TBCCM bora niangalie Supersport 3. TBCCM wanaanza habari za first lady, zinafuata za pinda tena akitangaza watu wapigwe, zinafuata za nape, zinafuata za lukuvi baada ya hapo habari zinafika mwisho. Ukitoka hapo unanuka CCM tupu...
 
Back
Top Bottom