TBC, watangazaji wenu wanapotosha umma!

TBC, watangazaji wenu wanapotosha umma!

zebradume

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
48
Reaction score
18
Nilikuwa nafuatilia matangazo ya sherehe za muungano nimesikia habari nyingi za upotoshaji kuhusu historia ya muungano kilichonistua zaidi ni pale mtangazaji maiko haule alipokuwa anarudia kumuelezea ndugu rupia banda ati ni rais mstaafu wa malawi na ndio maana yuko karibu na joyce banda maana wote wanaitwa banda!! Ni aibu gn kusema mambo ambayo huyajui na huku ukijia uko hewani! Watoto wetu wanajifunza uongo kutoka kwa watangazaji hasa wa tbc!!
 
Naona alikuwa kwenye kumbukumbu yake alikuwa akijua kuwa rais wa zamani wa Malawi alikuwa anaitwa Banda, so alivyosikia Rais Mstaafu Rupia Banda akajua yes ndio huyu..
 
Nilikuwa nafuatilia matangazo ya sherehe za muungano nimesikia habari nyingi za upotoshaji kuhusu historia ya muungano kilichonistua zaidi ni pale mtangazaji maiko haule alipokuwa anarudia kumuelezea ndugu rupia banda ati ni rais mstaafu wa malawi na ndio maana yuko karibu na joyce banda maana wote wanaitwa banda!! Ni aibu gn kusema mambo ambayo huyajui na huku ukijia uko hewani! Watoto wetu wanajifunza uongo kutoka kwa watangazaji hasa wa tbc!!

Hiyo station bure kabisa, kanjanja wakutosha, mtu hajafanya uchunguzi anaropoka tu!
 
mwendo wa haraka jamaa anang'ang'ana kuwa ni mwendo wa pole
 
Anashindwa kujua km hastings kamuzu banda alishakufa!! Ss wanakuwa watangazaji na kidandia dandia mambo hawasomi wakaelewa...?! Mambo mengi tu wanachapia
 
Ki ungwana na wewe ulitakiwa ueleze usahihi ni upi? Vinginevyo ataendelea kupotosha
 
Mara kwa mara walikosea kusema miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.
 
Ilo mbona dogo ata manaibu waziri wa elimu hawajui historia ya nchi

Mmesahau mulugo aliposema tanzania ni muungano wa visiwa vya pemba na zimbabwe! !
 
Kwa sababu mi sikuwepo Kwahiyo sijui kama kweli waliungana au lah!
 
..wamezoea hao ...HATA mh Mlugo alipokuwa naibu wa elimu alipokuwa A.Kusini alidanganya Hivyohivyo no action..like father like son...
 
Wasamehe bure wana stress za maisha mishahara wanadai ya miezi sita na hata jengo lao ni chakavu,linavuja...
nakushauri siku nyingine uangalie ITV
 
Wakuu jambo linalokera zaidi ni pale kitendo kinapofanyika badala ya kuacha mtazamaji ajionee mwenyewe mtangazaji anajifanya kuelezea jambo ambalo hufanya kitendo kinachoendelea kisisikike
 
alafu walijisifu mtambo kutoka china cjui una kamera 12 kumbe hamna lolote wakati ndege inaachia askari wa mwamvuli walishindwa kuonesha ni njisi gan anavyotoka kwenye ndege wanakuja kuonesha askari anakaribia kushuka
 
Nilikuwa nafuatilia matangazo ya sherehe za muungano nimesikia habari nyingi za upotoshaji kuhusu historia ya muungano kilichonistua zaidi ni pale mtangazaji maiko haule alipokuwa anarudia kumuelezea ndugu rupia banda ati ni rais mstaafu wa malawi na ndio maana yuko karibu na joyce banda maana wote wanaitwa banda!! Ni aibu gn kusema mambo ambayo huyajui na huku ukijia uko hewani! Watoto wetu wanajifunza uongo kutoka kwa watangazaji hasa wa tbc!!

Hili suala DIV-V limekumba hadi idara nyeti. Nilipomsikia akijinasibu kamjuzi sa wa historia nilinyong'onyea sana. Hivi huyu Haule hadi afike umri kustaafu TBC atakuwa amepotosha na kufelisha wangapi. Ee Mwenyezi Mungu uondoe 'kikombe' hiki maana ni maangamizi.
 
Mie leo nimeshangaa sana Kwanini MARIN HASSAN MARIN hakuwepo kwenye utangazaji wa tukio kubwa kama hili..
Marin anaupeo mkubwa na weledi wa hali yaj uu kwa wanahabari waliobakia katika nyanja ya Habari kwa sasa ambao wengi ni wazee wa Google news.
Sasa nikashangaa kuona vijana wanavuruga huku sehem nyingine wanafunikia ili kuficha makosa ila ukweli kwa wenyekuelewa unabakia pale pale.
TBC leo bila Marin Hassan mmevuruga sana tena sana.Miaka 50 ya uhuru haitarudia tena,mlitakiwa mjipange kwa tukio kubwa la kihistoria kama hili.Msifikirie kwamba miaka 51 itakuwa na umuhim kama 50 ilivyo.
Mjipange,msibahatishe kabisa hasa kwa tukio kamahili ambalo Dunia nzima inashuhudia na mmejiunga na DSTv kisha mnaharibu namna hii.
 
Ingefaa tupate cv yake huyo haule uckute tunamuonea bure yeye kwenye kiss n muajiri aliyeajir kilaza kiss Tu n magamba mwenzao
 
Mie leo nimeshangaa sana Kwanini MARIN HASSAN MARIN hakuwepo kwenye utangazaji wa tukio kubwa kama hili..
Marin anaupeo mkubwa na weledi wa hali yaj uu kwa wanahabari waliobakia katika nyanja ya Habari kwa sasa ambao wengi ni wazee wa Google news.
Sasa nikashangaa kuona vijana wanavuruga huku sehem nyingine wanafunikia ili kuficha makosa ila ukweli kwa wenyekuelewa unabakia pale pale.
TBC leo bila Marin Hassan mmevuruga sana tena sana.Miaka 50 ya uhuru haitarudia tena,mlitakiwa mjipange kwa tukio kubwa la kihistoria kama hili.Msifikirie kwamba miaka 51 itakuwa na umuhim kama 50 ilivyo.
Mjipange,msibahatishe kabisa hasa kwa tukio kamahili ambalo Dunia nzima inashuhudia na mmejiunga na DSTv kisha mnaharibu namna hii.

Na wewe umekosea ni miaka 50 ya Muungano na siyo ya Uhuru.
 
TBC ipo hoi kama zilivyo hoi shule za umma hapa nchini, nadhani wana-recruite form four failures wengi
 
Back
Top Bottom