alafu walijisifu mtambo kutoka china cjui una kamera 12 kumbe hamna lolote wakati ndege inaachia askari wa mwamvuli walishindwa kuonesha ni njisi gan anavyotoka kwenye ndege wanakuja kuonesha askari anakaribia kushuka
kamera gani ukiweka zoom picha inakuja na ukungu bora watumie tu zile za zamani