Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,631
- 7,535
Huyu jamaa nahisi utambulisho wake ushajulikana kwahiyo ameamua kuwa panya magawaIla wewe jamaa huwa unafurahisha sana na post zako halafu ni platinum member
Huyu jamaa nahisi utambulisho wake ushajulikana kwahiyo ameamua kuwa panya magawaIla wewe jamaa huwa unafurahisha sana na post zako halafu ni platinum member
mabeberu wa Azam wamelalamika kwa shoga wao naona shoga wao kawaelewa.Robert Heriel Mtibeli nakumbuka ulisema hii kitu na imetokea kweli hawa jamaa TBC sijui namna gani yaan mbwembwe nyingi halafu wanaleta mambo ya ajabu,
Jana kuna mtu namwambia mpira umeanza? ananiambia Channel gani? namwambia TBC si walisema wanaonyesha gemu zote, eeh kacheck ananiambia hakuna namwambia kuna nini? ananiambia ooh wanaonyesha askofu anaapishwa nikamwambia muda huu wa mpira? ananiambia ndio, nilichoka sana
utachoka pekezako kwa raha zako mkuu.🤣🤣🤣 umenikumbusha road to oct 29 Habil kabil 😂😂😂
Ila hii nchi tutafika tumechoka sana
Ulisahau kwamba TBC ni channel ya hovyo ambayo haioni aibu kuongea uongo hadharani?TBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street.
Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke zake kwa raha zake.
Nimekata tamaa. Naenda kuwaripoti ICC.
By. Habil and Qabil
hahahahUlisahau kwamba TBC ni channel ya hovyo ambayo haioni aibu kuongea uongo hadharani?
Ndugu yangu kakaa kwenye tv hadi muda huu anangoja kuona mechi ya Japan 🗾 vs Netherlands wakati mechi imeisha tangu jana
Walisema ZOTE mkuu kwenye tangazo na wakasisitiza huna haja ya kwenda popote maana watakuletea hapo hapo.Walisema:
au
- Wataonyesha mechi za Kombe la Dunia 2026
- Wataonyesha mechi zote za Kombe la Dunia 2026
kama kuna sehemu waliandika au kutamka "ZOTE" watakulipa hiyo Mil 500..
sio kwa ubaya ila mwisho wa matangazo yao huwa wanasema "Vigezo na Masharti kuzingatiwa", muwe mnasoma masharti na hivyo vigezo ni vipi ili msikurupukeTBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street.
Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke zake kwa raha zake.
Nimekata tamaa. Naenda kuwaripoti ICC.
By. Habil and Qabil
Waliviweka wapi? nini maana ya mechi zote?sio kwa ubaya ila mwisho wa matangazo yao huwa wanasema "Vigezo na Masharti kuzingatiwa", muwe mnasoma masharti na hivyo vigezo ni vipi ili msikurupuke
kuhusu viko wapi sasa, hio ni homework yako na kama uko serious na kuwapeleka mahakamani, ulitakiwa uanzie hapo. Maana how else would you make your case?Waliviweka wapi? nini maana ya mechi zote?
Halafu mbona kwenye hili tangazo hawajasema vigezo na masharti kuzingatiwa?kuhusu viko wapi sasa, hio ni homework yako na kama uko serious na kuwapeleka mahakamani, ulitakiwa uanzie hapo. Maana how else would you make your case?
una uhakika?Halafu mbona kwenye hili tangazo hawajasema vigezo na masharti kuzingatiwa?