TBC wamezima tusione Bunge

Akina Lisu wameshapigwa ban

They are trying to 'kill' the revolutionaries but not the ideas...wanafundisha na kuwakomaza akina Lissu na Mnyika wengine wengi zaidi huku nje. Uonevu huotesha sugu na kuwafundisha wanaoonewa njia za kujilinda dhidi ya uonevu. It is just a normal principle.
 
Msigwa na mwenzake wamekula ban ya vikao viwili vya bunge.
 
Mkuu bila shaka utakuwa na namba za Makamanda ndani ya Bunge, waambie warekodi yote yatakayojiri leo kupitia zao na kuendelea maana hawa wahuni wanataka kufanya uhuni mkubwa katika kupitisha miswaada hii kinyemela.

 
Kumbe walipaswa wahojiwe wakiwa na mashahidi wao kamati ikagoma
 
UKAWA waliobaki waendeleze libeneke!Shekifu anapiga CCM hoyee bungeni.Hawa kweli wamepania kutuondolea vichwa bungeni.
 
Makinda anatumia mabavu inatia sana hasira
 
Huyu mama analiharibu bunge kabisa na amehairisha kikao hadi kesho
 
Wenje kaomba utaratibu mpaka koo likakauka lakini kabaniwa,dah!yana mwisho
 
Waliobaki wawaenzi wenzao waliopigwa ban kwa kutokubali hizo hati za dharura.
 

Mnyika sio Wizara ya Maji.
 
Nishati tena,nahisi kuna nguvu ya mkulu ipite ili kutetea mambo yao ya kifisadi,haiwezekani zibaki wiki kadhaaa mnakuja na spidi ya dharura.
 

Ubungo hawana vilaza kama wewe. Rudi kwa lusinde ndo anafaa kuwaongoza nyie.
 
wanamuonesha manji na vita yake na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…