TBC wakubali ushauri wa wanaJF

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Niwapongeze wana JF kwa ushauri wa kuijenga TBC juu ya kukubali kuitumikia CCM wakati wakijijua kuwa ni mali ya Serikali wala siyo CCM

Kufuatia ushauri huo naona TBC safari hii wameamua kujiweka pembeni wakati wa Mkutano Mkuu na Kamati Kuu za CCM pale Dodoma na badala yake wao walikuwa ni watazamaji kama akina sisi.

Badala yake aliyeamua kubeba mzigo huo akawa ni Clouds Media jambo ambalo ni halali kwao kama ni makubaliano ya kibiashara au mapenzi yao hiyo haitusumbui.

Hongera sana wana JF kwa ushauri ushauri wenu na kuwa watetezi wa Mali za Umma kutotumiwa hovyo.
 
Danganya toto ccm/JPM wamejimilikisha tbc, hata jambo dogo kuchukua na kurejesha fomu walikuwa live
Angalau kwa kutoshiriki hiyo mikutano yao imetuliza mzuka
 
Niwapongeze wana jf kwa ushauri wa kuijenga TBC juu ya kukubali kuitumikia ccm wakati wakijijua kuwa ni mali ya serikali wala siyo ccm.

Kufuatia ushauri huo naona TBC safari hii wameamua kujiweka pembeni wakati wa mkutano mkuu na kamati kuu za ccm pale Dodoma na badala yake wao walikuwa ni watazamaji kama akina sisi.

Badala yake aliye amua kubeba mzigo huo akawa ni Clouds media jambo ambalo ni halali kwao kama ni makubaliano ya kibiashara au mapenzi yao hiyo haitusumbui.

Hongera sana wana jf kwa ushauri ushauri wenu na kuwa watetezi wa mali za umma kutotumiwa hovyo.

Kwa msingi huo TBC itakuwa imefanya maamuzi ya hovyo, kwani imeshindwaje kuchukua fedha kutoka CCM kwa ajili ya matangazo ya mkutano mkuu wa CCM??, hiyo fedha waliolipwa clouds kwanini wasingelipwa TBC??.

TBC inaendeshwa kibiashara hivyo mikutano ya vyama vyote inaweza kurushwa kulingana na makubaliano juu ya gharama za urushaji, hilo sio dhambi.
 
Una uhakika gani kama walikuwa wanalipwa?

Back
Top Bottom