Huyu TIDO MHANDO pamoja na kukaa BBC naona alirudi na kumbukumbu ya mambo yale yale alitoyaacha miaka ya 1970 ya kuwalamba watawala ******. Labda pensheni yake ya BBC haitoshi anaganga njaa. Heshima yake imeshuka mno katika miwani yangu. Iko siku CCM itaanguka sijui atajificha wapi? Amefanya TBC kuwa sawa na Radio Uhuru au gazeti la Uhuru vyote mali ya CCM. Dandahead TIDO MHANDO. You can delay change but you can't prevent change.Achana nao nadhani mioyo imewauma hadi wameamua kuwa washing maniacs!
Marina Hassan, Tiddo Mhando etc. wako hewani wakijetetea jinsi walivyo cover kampeni huku wakivishambulia vyama. Tukio la Marin Hassan kugombaniwa na wana CHADEMA jangwani wanadai lilitokana na CHADEMA kukiuka makubaliano yao na TBC kwamba wasikashifu mtu kwenye hotuba zao, na hivyo walilazimika kutoka hewani. CHADEMA wakapata taarifa hapo uwanjani kwamba TBC wametoka hewani na Marina Hassan ndio huyo hapo kachomoa waya. Ikabidi CHADEMA watake kumwadabisha hadi polisi walipomnusuru. Marina anadai siku hiyo alilia machozi zaidi kwa kuwa alitukanwa ya nguoni.
Swali: Wao TBC wamekua ni NEC au Kamanda Kova wanaotoa vibali vya mikutano mpaka wavipe vyama masharti nini cha kusema? Pinheads!
Narudia rai ya Freeman Mbowe aliyoitoa siku Marin Hassan alipotaka kuchapwa:
" Nawaonya TBC kwamba wanalipwa na kodi yetu wananchi maskini, na siku wananchi wakichoka hakuna jeshi litakaloweza kuwazuia."
Kiongozi kutuhumiwa ufisadi siyo tusi...............Sasa vyama vya siasa visipowafahamisha wapigakura matatizo na changamoto za kuendesha nchi haya yote tutayajuaje? Tutawezaje kuchagua viongozi wazuri kimya kimya?ukio la Marin Hassan kugombaniwa na wana CHADEMA jangwani wanadai lilitokana na CHADEMA kukiuka makubaliano yao na TBC kwamba wasikashifu mtu kwenye hotuba zao, na hivyo walilazimika kutoka hewani.