Marina Hassan, Tiddo Mhando etc. wako hewani wakijetetea jinsi walivyo cover kampeni huku wakivishambulia vyama. Tukio la Marin Hassan kugombaniwa na wana CHADEMA jangwani wanadai lilitokana na CHADEMA kukiuka makubaliano yao na TBC kwamba wasikashifu mtu kwenye hotuba zao, na hivyo walilazimika kutoka hewani. CHADEMA wakapata taarifa hapo uwanjani kwamba TBC wametoka hewani na Marina Hassan ndio huyo hapo kachomoa waya. Ikabidi CHADEMA watake kumwadabisha hadi polisi walipomnusuru. Marina anadai siku hiyo alilia machozi zaidi kwa kuwa alitukanwa ya nguoni.
Swali: Wao TBC wamekua ni NEC au Kamanda Kova wanaotoa vibali vya mikutano mpaka wavipe vyama masharti nini cha kusema? Pinheads!
Narudia rai ya Freeman Mbowe aliyoitoa siku Marin Hassan alipotaka kuchapwa:
Nawaonya TBC kwamba wanalipwa na kodi yetu wananchi maskini, na siku wananchi wakichoka hakuna jeshi litakaloweza kuwazuia.