Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,127
- 2,945
TBC ya Tido Mhando ndo ilikuwa Television ya kuangalia, Tangu Alipoondoka Tido mhando taarifa zao za habari zikawa za hovyo, Matukio wanaficha wakati enzi ya Tido mhando tulisikia na kuona kila kitu, Kiongozi akitoa maagizo, kama Luna mjadala ilikuwa ya wazi, Mfano Mchakato wa majimboni, Kwenye taarifa za habari tulioneshwa mwanzo wa tukio had I mwisho bila kutuacha na maswali ya ziada Susi watazamaji, TBC ya sasa IPO tayari kuficha ufisadi wa kiongozi ili kulinda Tabaka tawala , Kwa kweli Baba Magufuli turudishie Tido Mhando wetu kwenye TBC ili airudishe kama mwanzo, Huyu aliyepo in mzigo usiobebeka hata na msukuma ambao husifika kubeba mizigo mizito. BABA MAGUFULI TAMKA NENO MOJA TU NA TBC YETU IPONE, NENO HILO NI BRING BACK OUR TIDO MHANDO TO TBC.