TBC Vipi Kwa MH Nasari

TBC Vipi Kwa MH Nasari

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
1,633
Reaction score
156
Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

naona ni kampango mkakati cha uongozi wa bunge kushirikiana tbccm, pale mtu wa chadema atakapo simama na ikaonekana ataivua nguo serikali ya ccm niku [mute] naona sasa kwa mkosamali wametoa [mute] haaaaaaaaaa,
 
Wamenishangaza sana, cjaweza kumskia kabisa nasari ila mkosamali wamemwachia😡
 
Nashindwa kuwaelewa TBC mbunge Nasari anachangia hoja Sauti haitoki kulikoni?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sasa hivi anaongea mbunge kutoka CUF,Magdalena Sakaya sauti inasikika.ni mipango ya kipuuzi ya tbccm.
 
Bado mnaangalia tbccm?mi hi channel nishaiacha hata kama ni bunge c angalii wapuuzi 2!
 
Back
Top Bottom