Tbc Singida

Tbc Singida

ACTIVCT

Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
18
Reaction score
0
Redio TBC FM na TBC Taifa zinakata matangazo kila mara umeme ukikata kwa SINGIDA hivi niwaulize wana SINGIDA hao TBC WENU hawana majenereta mubadala? chakushangaza ni radio ya serikari, hivi kodi zenu zinafanya kazi gani?
 
<br />
<br />
KUSAFIRIA NCHI ZA WENZETU.
 
Singida inabidi mujivue sumu yenu haiwezekan kodi mnalipa halafu matangazo ya redio mnakatiwa ovyo ovyo na TBC ikifika 2015 mnanunuliwa na kanga za DEWJI wenu na kuambiwa mmejengewa kituo cha TBC halafu matangazo yake hafifu.
 
Ulikatika siku ya fainali za kagame Cup huko uwanja wa taifa dar es salaam. Unazungumzia Singida.

Pole sana
 
ukishataja singida ni matatizo matupu.
ngome kuu ya magamba.

Wee acha bwana! Sio Singida yote ni ngome ya magamba. Tundu Lissu alivua magamba Singida Mashariki mkuu. Taratibu tutafikia ukombozi.......
 
hivi tbc tv ina kipi cha maana hadi mlalamike? nidhani anauliza itv hawaipati kumbe tv magamba
 
Back
Top Bottom