TBC punguzeni uzalendo

TBC punguzeni uzalendo

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,789
Reaction score
47,985
leo TBC walitutangazia kuwa ifikapo saa 4 kamili watakua na kipindi cha maisha ya the late koffi anan

Mimi nilitegemea documentary ya maana kama zile nilizozizoea HISTORY CHANNEL au CCCTV kwenye kipindi cha FACES OF AFRICA

matokeo yake,kipindi hiki kimechelewa kuanza kwa kuanza saa 4 na dakika 16 (hawa hawaendani kabisa na mabadiriko ya science na teknolojia, channel zote international kipindi kinaanza sekunde kadhaa kabla)

Nikasema anyway isiwe tabu, kitu kilichonishangaza kama sio kuniuzunisha, mtangazaji amemualika profesa wa chuo cha diplomasia ambaye naye anaongea tu vitu vya ajabu hajibu hoja vizuri

Kilichoniudhunisha zaidi ni kuwa nilitegemea kipindi hiki tungeambiwa maisha ya the late koffi anan tokea akiwa mtoto mpaka alipofikia

Lakini mtangazaji na profesa wake wakaanza kuongelea mwaka 1997 wakijikita kwenye uongozi tu wa bwana huyu

Katika dakika za mwisho kama ilivyokawaida ya TBC mtangazaji akaanza kumfananisha koffi anan na magufuli ,kitu ambacho professa alionekana kukipenda wakaanza kumsifia magufuli na kwenda mbali zaidi wakidai Magufuli hadi wakenya wanamtamani awe rais wao

Hii ndio channel yetu tuliobakiziwa kwenye ving'amuzi , nimesikitika sana mpaka kukumbuka kauli za member wa JF wanaodai wana miaka hawajaangalia TBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kuna vitu na vituko. TBC ni wapumbavu sana, jana habari nzima ni ccm, alafu ndio tv ya taifa. Hii nchi, yaani badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma. Koffi anan na magufuli tena, mtu aliyepewa nobel prize unaweza mfananisha na mbadilisha matokeo ya uchaguzi kwa mwamvuli wa uzalendo. Ujinga mwingine umepitiliza.

Yani watakosa watazamaji , kwanza taarifa yao ya habari haina mpangilio, mara waanze na ya kitaifa wa mix na michezo then warudi za kimataifa

Wamezidi mno kumsifia rais mpaka inakera,aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom