Imeshindwa kbs toka enz za digital mpaka leo tupo na AIhapo shida sio camera tu mzee ni kubadilisha mfumo mzima wa kurusha matangazo kwenda HD.anyway serikali haiwezi kushindwa..
hapo shida sio camera tu mzee ni kubadilisha mfumo mzima wa kurusha matangazo kwenda HD.anyway serikali haiwezi kushindwa..
Ukute vofaa bora viliandikiwa,tatizo yule aliyeenda kununua akachukua vya bei ndogo.Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
hapo shida sio camera tu mzee ni kubadilisha mfumo mzima wa kurusha matangazo kwenda HD.anyway serikali haiwezi kushindwa..
Kwa hiyo Pascal Mayalla alitudanganya?kabisa kuboresha
Hana huo mfumo ni janja janja tuTbc tayari wana mfumo wa hd. Ni camera walizotumia labda ndo zina shida.
Hivi bado kuna watu wanaangalia tbc? Ni sawa na kuangalia channel 10 unategemea kuona nini zaidi ya story za upande mmoja?
sasa kama wamegaramia mfumo wa HD halafu wameshindwa kununua camera watakua wehu..Tbc tayari wana mfumo wa hd. Ni camera walizotumia labda ndo zina shida.
Hivi bado kuna watu wanaangalia tbc? Ni sawa na kuangalia channel 10 unategemea kuona nini zaidi ya story za upande mmoja?
hii nchi ina uchakachuaji kila secta kaka..Imeshindwa kbs toka enz za digital mpaka leo tupo na AI
Hiyo mechi hawarushi wao live ni vile tu hawana mfumo wa HDKwa hiyo Pascal Mayalla alitudanganya?
===
![]()
TBC Yafanya Kweli!, Yashusha OB Van ya Kufa Mtu!, Ina Kamera 12!. Itarusha HDV Signal Kama DSTV.
Wanabodi, Heri ya Pasaka, Mara moja moja huwa ninatembelea Kituo cha TBC kwa shughuli zangu, leo Jumapili ya Pasaka nimepita pale na kuushuhudia bonge la OB Van mpya ya Kufa Mtu ikitua TBC!, kwa maelezo ya juu juu, OB Van hii, ina Kamera 12!, na moja ya camera hizo ni camera ya slow motion...www.jamiiforums.com
Hana huo mfumo ni janja janja tu
Kama mpira wa leo naona vivuli tu na sautiTbc tayari wana mfumo wa hd. Ni camera walizotumia labda ndo zinashida.
Hivi bado kuna watu wanaangalia tbc? Ni sawa na kuangalia channel 10 unategemea kuona nini zaidi ya story za upande mmoja?
Kwani hiyo mechi wanarusha wao live?sasa kama wamegaramia mfumo wa HD halafu wameshindwa kununua camera watakua wehu..
Ni kweli,ila kamera moja ambayo ina kila kitu ni milioni 500 na studio inatakiwa iwe nazo kama 20,na studio camera kila moja ni 1 bilion na zitakiwa 8Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
Kama tunaweza kuprint mabango nchi nzima barabaran , kulipa machawa, vikundi, vyenye majina ya kusifu, plate no za 20 25 -20 30 tunashindwa vipi camera tuNi kweli,ila kamera moja ambayo ina kila kitu ni milioni 500 na studio inatakiwa iwe nazo kama 20,na studio camera kila moja ni 1 bilion na zitakiwa 8
😂😂 Af warushe live kupitia TikTok maana Huwa Ina quality 😂Bora watumie simu