Tbc na uchakachuaji wa habari za udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc na uchakachuaji wa habari za udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chief-Mkwawa, Jun 13, 2011.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  kwa mara nyengine tbc yaitia kapuni habari ya maandamano udom, je sisi hatuna haki? Wajameni aarrrghhh
   
 2. m

  mangimoshi New Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je kama hawajaipata utajuaje?mbona tunapenda kusema vitu vya uongo?hizi ni tabia ambazo si za kisomi
   
 3. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  uliangalia kweli tbc habari vizuri hiyo jana? kwa taarifa yako hadi kwenye muhtasari wao waliisoma na picha zikaonyeshwa!cha ajabu habari haikusomwa..
   
 4. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Join Date : 13th June 2011
  Posts : 1
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
  [h=2]je kama hawajaipata utajuaje?mbona tunapenda kusema vitu vya uongo?hizi ni tabia ambazo si za kisomi[/h]Mangimoshi ndo umejiunga leo na unaanza na kasi hivi kwenye post yako ya kwanza kabisa??? Hata hivyo Karibu sana jamvini
   
 5. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kwa mara nyengine tbc yaitia kapuni habari ya maandamano udom, je sisi hatuna haki? Wajameni aarrrghhh

  MBONA MIMI NILIKUONA WEWEEE KATIKA HIYO TAARIFA YA HABARI YA TBC....???
   
Loading...