TBC na haya mafuriko mnajua wajibu wenu?

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Inakuwaje TBC kama kituo cha television cha TAIFA haitupi update za mara kwa mara juu ya maafa wako busy na mambo mengine wakati wanaelewa kiu ya wengi ktk kupata taarifa. Kama television ya taifa hampaswi kufanya hvyo. Mnashindwa hata na Mlimani tv wenye coverage ndogo. Shame on you.
 
Labda ingekuwa kuonyesha Bush akila msosi na shoga yake Jk..ilo la mafuriko alina maana sana kwao.
 
Ingekuwa ni kampeni au lolote linalohusu CCm ungewaona full coverage.. Wakati mwingine nahisi hawa jamaa sio watanzania na TV siyo ya Tanzania
 
Inakuwaje TBC kama kituo cha television cha TAIFA haitupi update za mara kwa mara juu ya maafa wako busy na mambo mengine wakati wanaelewa kiu ya wengi ktk kupata taarifa. Kama television ya taifa hampaswi kufanya hvyo. Mnashindwa hata na Mlimani tv wenye coverage ndogo. Shame on you.

Wemeamua ku-delegate kwenye kituo cha Clouds Fm..Ka unataka updates za mafuriko inabidi uisikilize tu kwa muda kama na wewe ni miongoni mwa watu walioisusa kuisikiliza
 
unajua roboti linafanya kazi kutegemeana na ulivyoliprogram.
wala halitumii common sense. tatizo ni kwamba tbc inatumia
robots. hivyo mpaka magamba yaje yafanye updates ndo
utaona habari za mafuriko.
 
Imagine saivi wanaonyesha maigizo wakati kuna mambo kibao yakurusha kuhusu mafuriko mfano kambi maalum zilizoteuliwa kwa ajili ya waathirika watu wapate kuziona na kama mtu au kampuni ataguswa aweze kutoa msaada kwa njia yoyote yaani wanabore sana wako kichamachama zaidi.
 
Waonyeshe ili uozo wa serikali uonekane??
Tbc = ccm
Ccm = janga la taifa
Janga la taifa = serikali ya sasa

Nafikiri tbc wako sahihi kutoonyesha

Sichangii hoja
 
Back
Top Bottom