muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,909
- 14,874
Sijawahi kuona kilaza aliepitiliza kama wewe,yani kila kitu tu unachangia kiushabiki.Jitambue bwana we vipi.Labda waanze kuwatoza TV licence wapate pesa ya kuwaonyesha hayo.
Mkuu hiyo siyo TV ya kuangalia hata kidogo.Kwa hili inafaa hasa tuwaulize wapo nchi gani? Timu yetu ya Taifa inaxheza wao hawana habari kabisa, inasikitisha sana.
Sijawahi kuona kilaza aliepitiliza kama wewe,yani kila kitu tu unachangia kiushabiki.Jitambue bwana we vipi.
KoromijeTBC ipo nchi gani vile?
Mkoromije mwenyewe haitakiKoromije
Aaaaaah kweli anaangalia mawingu.......Mkoromije mwenyewe haitaki
NotedAaaaaah kweli anaangalia mawingu.......
Wewe ndio kilaza ulie kubuhuu,ujitambui.Nyie ndio wenyewe vyeti feki.Kwanza sina muda wakubishana na wewe mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika.Ha ha ha haaaaaaaa kama hujaelewa nenda kagugo sio kudakia tu....kilaza uliyekubuuuu huna hata fikra za kujiuliza kitu.
Wewe ndio kilaza ulie kubuhuu,ujitambui.Nyie ndio wenyewe vyeti feki.Kwanza sina muda wakubishana na wewe mwenye sifa ya kujua kusoma na kuandika.