Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Niulize tu hiki cha kurusha mechi live haioneshi muda,hamna magoli wala majina ya timu hamnna mnautangazia umma hii nchi haina wataalamu wa IT,hamna hela za kuajiri wasomi wenye ujuzi wakasaidia kuweka programu kweli ikaonekana thamani yake ama ndo mnataka tuwaeleweje?
Kweli kwenye hii karne ya 21 katika hizi zama za dijitali bado mmeendelea kutokubadilika na kutuonyesha picha za miaka ya 47.. Hizo pesa zetu za kodi mnatumia kufanyaje?
Kweli kwenye hii karne ya 21 katika hizi zama za dijitali bado mmeendelea kutokubadilika na kutuonyesha picha za miaka ya 47.. Hizo pesa zetu za kodi mnatumia kufanyaje?