Taarifa ya habari saa Nbili,Mkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa,akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera,vifaa vya kuchanganya matangazo hawana nakwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji
My Take.Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia
na hela ya ving'amuz inaenda wapi?

Mungu akubariki na akuponye na ombwe la ujinga lililo kichwani mwako.Mungu ibariki tz,mungu ibariki tbc