Sasa unatuuliza sisi, si ungeanza wewe kutupa jibu, nyie ndio mama kawaambia kule Mwanza kuwa mnatumia mitandao vibaya, mnapenda kuuliza au kukosoa tu bila kuja na majibu ya hayo mnayoyasema.
Kwa tafakuri hii ni rahisi mawazo ya mtu kwenda mbali sana na hatimaye kumfikiria kiongozi "hamnazo" ambaye kwa sasa kashatangulia mbele ya haki na wengi wanaamini kweli alikuwa "hamnazo"