Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,888
- 831,225
Haiwezekani habari za kitaifa zote zihusiane na ccm na hotuba za kumpongeza rais kwa hotuba yake aliyoitoa bungeni juzi
Watendeeni haki watanzania hicho ni kituo cha tv cha Taifa na si cha ccm
Mkurugenzi Mshana unatuabisha washana (The Smithians) wafua vyuma hatuko hivyo tafadhali