Huyo ni mke wa mandela ww umemkariri win[/QUO
Rais wa kwanza wa kuchaguliwa kidemokrasia nchini Afrika kusini ni Hayati Nelson Mandela.
Graca Machel ni Mjane. Amebahatika kuolewa na SAMORA Machel (Rais wa kwanza wa Msumbiji) na Nelson Rolihlahla Mandela (Mwafrika wa Kwanza kuwa Rais wa Afrika ya Kusini).ukumbuke mjane grace machel alikuwa wa mandela
winnie mandela alikuwa mke wa pili wa mandelaWinie Mandela ndo alkua mke wa kwanza
winnie alikuwa wa pili halafu grace akawa wa tatumimi sijasema grace ni mke wa kwanza ila nilichoelezea grace alikuwa mke wa mandele ...
Najua fika winnie ndo wa kwanza
Mnanichanganya tu. Wengine wanaongelea raisi wa kwanza wa A.kusini, wengine wanaongelea mke wa kwanza wa Mandela. Mada hasa ni ipi?
Kwani hujui grece machel alikuwa mke wa mandela baana ya kuachana na win mandela.TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
wazungu makaburu wa apartheid hawakuwa wakoloni walikuwa ni raia weupe wa sa na waliishi na kujenga sauzi kama kwao na walikuwana marais na historia ya nchi yaoNi nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???
Nchi ya Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka gani???
Kwel mkuuNdiyo maana hata mwenye station yake anafuatilia habari mawinguni
Rais wa kwanza Charles RobertsUnapoanza kuongelea habari ya Rais wa kwanza kuchaguliwa Kidemokrasia ni slippery slope.
Nyerere, kwa mfano, alikuwa peke yake kwenye ballot box miaka yote, alifuta vyama vingi.
George Washington alipochaguliwa Rais wanawake wa Marekani walikuwa hawapigi kura. Walipoanza wanawake, weusi wakawa bado hawapigi kura.
Kwa hiyo kwa ujumla huwa tunaacha mambo ya kusema Rais wa Kwanza wa demokrasia ili kuepuka ubishabi. Kwa sababu hata hapa hapa Tanzania hatujui kwa uhakika Rais wa kwanza wa Kidemokrasia ni nani. Kama yupo.
Lakini Rais wa kwanza ni nani hatubishani.
Eeehh usimchoshe Mungu babu we uje tuteketeze mbuziNajua unanimisi na najua hujui pa kunipata...
Mi nimemwachia Mungu...
Yes mada ni ipi hapa? Rais wa kwanza au mke wa kwanza?Unauliza mada ni ipi kati Mke wa Kwanza na Rais wa Kwanza? Tuwaulize TBC!
Mi wasiwasi wangu ni kwako wewe uliyeitazana tbc badala ya kuiangalia tu.TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Kamata njia ya kwa mromboo fasta... mi natengeneza appetite hapa...Eeehh usimchoshe Mungu babu we uje tuteketeze mbuzi
Kwani alikua dini gani?Hapana, Winnie alikuja baadae.
Mkewe wa kwanza ni Evelyn Mase.
Kwa hiyo hata kama walikuwa wanaongelea mke wa kwanza wa Mandela, hakuwa Winnie wala Graca.
Nelson Mandela alikuwa ni reputed womaniser, kwa kiswahili muhuni. Julius Nyerere anatakiwa awe na nafasi ya taadhima kuliko Mandela in the pantheon of African history.
TBC hawawezi kujua mambo haya.
Kwani alikua dini gani?