Sio kufafanuliwa... hiyo ndio sentensi sahihi.Rais wa kwanza muafrika ktk serikali ya kidemokrasia.Lbd ulitaka wakufafanulie hivyo. Ndalichako ana kazi.
Hilo halipingiki mkuu kama Tbc ni mamburura ,ila tunachotofautiana ni angle tulizokaa kutazama umburura wa TbcKwa hiyo unataka sisi tuanze kubashiri? Kwa ufupi mleta mada yuko sahihi TBC ni mamburura!
Ni nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???Elewa tunapozungumzia Rais wa kwanza wa nchi yeyote ya kiafrika tunazungumzia baada ya uhuru kutoka kwa wakoloni/ wabaguzi
Mandela? hapana, rais wa kwanza after apartheid wangesema hivyoTBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.
Nimesikia wakimtaja:
MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL
Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
Vijana wa Ndalichako hawawezi kukuelewa kabisa. Ndio maana viongozi wameamua kukataza uuzwaji wa viroba...Mandela sio rais wa kwanza wa SA
Winnie alikuwa wa pili, hebu chimbua kidogo ufahamumimi sijasema grace ni mke wa kwanza ila nilichoelezea grace alikuwa mke wa mandele ...
Najua fika winnie ndo wa kwanza
Huyo dogo unamuonea kwa maswali kama hayo..Ni nchi gani ya Afrika iliyokuwa na Rais wakati ikitawaliwa???
Nchi ya Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka gani???
Hilo ndo la msingi ambalo wamechememkaKumbe F.W. de Klerk alifuata kwa Mandela?
No D.cleark kwanza then MandelaSijakuelewa hapo mkuu? bado mnaubashite
Hahahahahaa!!Huyo dogo unamuonea kwa maswali kama hayo..
Wewe muulize haya maswali utapata majibu mazuri kutoka kwake. Muulize :-
1.rais wa wasafi ni nani?
2. Yeye ni team kiba au mond?
3. Joketo bado yupo na kiba?
Na mengine kama hayo..
Afu Kaburu P. Botha alikuwa wa nusu??No D.cleark kwanza then Mandela
Wala hajachemka......Mandela hakuwa rais wa kwanza wa SA . Kwani kabla yake hapakuwa Na rais ukizingatia SA imepata uhuru from 1910?Ww ndiyo umechemka
Endelea kuwafundisha mkuu...Wala hajachemka......Mandela hakuwa rais wa kwanza wa SA . Kwani kabla yake hapakuwa Na rais ukizingatia SA imepata uhuru from 1910?
Hicho ki emoji kama Le Mutuz[emoji41]
Mkuu powder huyo nae hayupo sahihi ila ww kwa namna nyingine umeweza kupatia huyo graca alikuwa mke wa tatu kwa mandela na winnie alikuwa mke wa pili rudin katika historia....weken pemben hizo akiri zenu za ki-udom udomUpo Sawa, Grace alikua mke 3 wa Mandela.
Winie Mandela ndo alkua mke wa kwanza