Tbc error thread (uzi wa michemko ya televisheni ya taifa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc error thread (uzi wa michemko ya televisheni ya taifa)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Didia, Jan 3, 2012.

 1. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Tangu kuondolewa Tido Muhando kila siku habari za TBC zimejaa makosa ya kipuuzi. Mara habari ikwame, mara utangulizi uliotolewa utofautiane na habari inayo onyeshwa, mara wakosee herufi katika maneno yanayo pita chini ya luninga n.k. Mimi binafsi nachukizwa sana na makosa haya ya kijinga achilia mbali UTBCCM.

  Sasa wapendwa ilikuwasaidia TBC kujirekebisha naomba kila siku habari ikisomwa tupost makosa ili chombo hiki kione jinsi gani kimesheheni viraza

  Nikianza na Taarifa ya habari ya jana, 2/01/2012 saa mbili usiku. Neno dereva katika uzi wa maneno lilisomeka DEREVZA
  .....makatibu wakuu wameahidi kufuata za utumishi wa umma .....
   
 2. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  MWananyati

  Today 20:52
  #1 [​IMG]

  [​IMG]Senior MemberArray


  Join Date : 3rd February 2011
  Posts : 90
  Rep Power : 266


  [h=2][​IMG] TBC mmezidi sasa!hata hesabu ndogo inawashinda?[/h]
  Hawa TBC saa ingine huwa nashindwa kuwaelewa. Mara kwa mara huwa nawasikia wakisema wanaonekana kwa njkia ya setelaiti hadi nchi za magharibi za marekani na ulaya n.k.
  Ila inaonekana waandaaji wa taarifa ya habari hawako makini na baadhi ya vitu.
  kwa mfano leo wakati wanasoma taarifa ya nauli za kigamboni wakasema kuwa watu wanalalamikia ongezeko hilo hasa upande wa maguta. Nauli yake imepanda toka 200 hadi 1800 shilingi. Waliponiacha hoi ni pale waliposema hili ongezeko ni la asilimia 80! tena wamerudia mara mbili, na hata mtangazaji anaonekana kutogundua chochote.​


   
Loading...