Hivi karibu TBC1 imeanzisha kipindi kinachorushwa kila Jumamosi saa 1 usiku chenye jina 'Huku ndio Kwetu',ambacho kinawatembelea na kuwahoji watu hasa wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Mbagala,Gongo la mboto nk kwa hakika hiki kipindi ni aibu kwa kituo kikubwa kama hiki...kipindi kinafanana kwa kila kitu na kipindi cha uswazi kinachorushwa na EATV...najiuliza
Huyo mhariri wa vipindi hakujua kuwa ni photocopy ya EATV

Hao wamepoteza mwelekeo. Sasa wanatoa vipindi vya ajabu ajabu, sasa wapo kwe Babu Samunge, wanatoa vipndi vya wakulima wa Marekani badala ya kuangaliwa wakulima wetu kule Namanyele nk. Hata wanatangazaji lugha haipo njema, siku moja nilimsikia mtangazaji akilonga eti" treni hiyo ilijikuta ikiacha njia na kugonga ukuta....!!!
tumewazoea copy and paste toka Tido aondoke wamepoteza mwelekeo ukiangalia watangazaji wa vipindi vya tv nyingine wamewachukua nawanaenda fanya vipindi vilevile
Tbc fm nako upuuzi mtupu..! Juzi wakapiga wimbo wa Juma Nature - ugali, mwiso mtangazaji akasema '' mlikuwa mnasikiliza kibao cha Ugali kilichoimbwa na msanii Juma na-tu-re (natule ugali au wimbo)..!!??