TBC aibu tupu

TBC aibu tupu

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
959
Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.

TV ya taifa ni janga la kitaifa huwezi kujivunia kabisa kuwa nchi ina kituo bora cha tv
 
Mkuu kumbe upo bongo nilijua ushachana passport yetubig up
aisee hata mie niliamka nikaenda kuzima redio nikahisi wanaingiliana lakini nikashangaa mbona sauti za ajabu ajabu kama watu wanaangalia x movie..nikatoa macho yote labda wataturushia kwa muda wapi wakawahi kurekebisha
 
Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.

TV ya taifa ni janga la kitaifa huwezi kujivunia kabisa kuwa nchi ina kituo bora cha tv

Nilitegemea wangeomba radh lakini hakuna tena
 
Toka wamemuondoa Tido mambo yanaenda mrama tu, sijui wanatatizo gani. Sauti zimekuwa zikiingiliana kwenye habari kwa zaidi ya takika 3 bila ya kufanya lolote!. Aibu kweli.
 
Niliacha kuangalia uduanzi unao itwa Tbc1 karibu mwaka wa pili sasa. Hawana lolote, kituo kimesinyaa.
 
ilikuwa habari ya kijiji kurudi makazi ya asili kabla ya operesheni vijiji, mimi nilidhani kativii kangu kana degedege sababu ya umeme wa jenereta.
 
Star TV imetulia sana napenda taarifas zao siyo hawa tbc1 ovyo kabisa
 
hata hawajaomba msamaha

Hakika, nami niliyaona madudu hayo TBC, yumkini ni ya kibinadamu, lakini nimesikitishwa kwa watangazaji wa TBC kushindwa kutuomba radhi watazamaji. Wana nafasi ya kufanya hivyo hata kesho, kama kweli wanatuheshimu.

Maggid Mjengwa,
Iringa.
 
Utamaduni wa kuomba radhi na kuwajibika kwa matendo yetu ni mgumu sana hata kama haugharimu chochote, misingi hii ndiyo inayo kwenda hadi kenye level ya uwajibikaji inapotokea mtu kushindwa kutimiza wajibu wake
 
Watakuwa wamerogwa na wachina wa Star Times kwani kila siku wanaibuka na vibweka vya kuboronga
 
inabidi tuunde kamati ya kufuatilia kiini cha tatizo kabla ya kuanza kuishambulia TBC kwani tbc imeleta naitaendelea kuleta mageuzi makubwa ndani ya taifa hili,imefanya mengi mazuri tusiyasahau .kosa moja halimfukuzi mke
 
Back
Top Bottom