TBC 1, hili la kutangaza na vyakula mdomoni linatia kinyaa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Sijui ni ushamba au kutaka kuonekana wa kisasa sanaa sawa mmeweka jiko la mapishi studio sawa ila kwanini watangazaji wanakula huku wanatangaza na vipande vya sambusa mdomoni kama huyu jamaa hapa aligeuka

USSR
IMG_20220113_084825_107.jpg
 
Kama kipindi ni cha mapishi sioni kama kuna shida...

Kama wameoneshwa sehemu za kinywani, basi hilo ni kosa la mpiga picha na mchanganya picha...

Kama mpiga picha alileta shot ambayo si nzuri, mchanganya picha ambaye ndio huwa director alipaswa kuomba shot inayohitajika...
 
Sijui ni ushamba au kutaka kuonekana wa kisasa sanaa sawa mmeweka jiko la mapishi studio sawa ila kwanini watangazaji wanakula huku wanatangaza na vipande vya sambusa mdomoni kama huyu jamaa hapa aligeuka

USSRView attachment 2079008
TBC daima wamejizatiti katika kuonyesha kiwango kikubwa cha ulimbukeni, upumbavu na kupitwa na wakati. Na hili wamelilia kiapo kuwa hakuna kituo kingine chochote kitakuja kuwapiku. Hii ni channel ya ovyo kupita maelezo.
ila haistaajabishi maana inamilikuwa na chama cha hovyo pia.
 
Back
Top Bottom