TB Joshua live leo !

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,714
Nimemshuhudia msichana mmoja kutoka Ghana akiwa na sindano mwilini(kwa mamia ) ktk picha ya Xray na zingine akiwa nazo mkononi(kumi na nane) baada ya kufanyiwa surgery huko kwao Ghana. Tunasubiri ktk prayer line kufanyiwa maombezi i.e. Deliverance
 
...mkuu nigeria mbali sana,nimemuona kwa macho yangu kijana anaombewa kule temeke dsm akatoa sindano kwenye dole gumba la mguu,machozi ya damu n.k, alikuwa member wa freemasons...
 
Nimemshuhudia msichana mmoja kutoka Ghana akiwa na sindano mwilini(kwa mamia ) ktk picha ya Xray na zingine akiwa nazo mkononi(kumi na nane) baada ya kufanyiwa surgery huko kwao Ghana. Tunasubiri ktk prayer line kufanyiwa maombezi i.e. Deliverance

Naomba mnifahamishe ni Decorder gani mnatumia na kumpata TBJoshua tafadhali nijulisheni mwenzenu.
 
naangalia kwenye cable ila pia kama una dishi unampata
 
Naomba mnifahamishe ni Decorder gani mnatumia na kumpata TBJoshua tafadhali nijulisheni mwenzenu.

Recorder ya free channels

Settings:
Satellite INTELSAT 7,10/K
LNB Power ON
LNB Type Universal
LNB Frequency 9.750 / 10.600
22KHZ AUTO
DISEqC Switch OFF
 
hata Mimi nimeona ila natamani nione mwisho
 
Tulivyotegemea wengi imekuwa sivyo kweli Mungu wa ajabu! Kamwombea simple kabisa na amepona looh utukufu kwa Mungu!
 
Nimeona ushuhuda wake usiku huu kapona kabisa na daktari kathibitisha. YESU NI WA AJABU utukufu apewe Bwana.
 
mungu wetu ni wa ajabu matendo yake hayachunguziki sifa na utukufu apewe bwana binti wa watu kachafuliwa tumbo na mishono na madactari wa dunia daktari bingwa Yesu kamaliza ugonjwa wote tusiogope maneno ya madaktari kama tuna imani iwezayo kung'oa milima tuishi katika kristo tupate mema kila siku
 
[video]http://wwitv.com/tv_channels/b1911.htm[/video]
 
TB angekuja na TZ jaman ...wengine shida kibao na uchumi hausom kwenda kule.Tunakufa tunajiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…