Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,465
Mbona ndege haijapatikana bado?? Mbona Arsenal imeshinda kikombe na hivyo kukinzana na utabiri wake?? Utabiri ni ujanja ujanja tu wa kucheza na nyota na mwendo wa matukio, ni kama Shekh Yahaya alivyokuwa anatabiri kiujanja ujanja tu.
Binafsi awe mtu wa Mungu au shetani, akishajiingiza kwenye utabiri tu huyo kwangu mchawi maana utabiri ni kucheza na nyota na inakuwa kama unaingilia kazi za Mungu.
Hebu naomba huo utabiri wa Mama Joyce Banda kushindwa. Naomba verbatim kabisa.
Maana nataka nilinganishe na opinion polls za kabla ya uchaguzi.
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.

Manake bongo mtu kuwa kiboko, kichwa, au genius wala huhitaji kufanya lolote la ajabu.
Waweza andika Kiingereza cha maneno ambayo hayatumiki sana katika maongezi ya kawaida ya kila siku (hata kama hakijanyooka kisarufi) na ukaonekana genius...
Tuna viwango vya chini mno....ndo maana nataka niuone huo ukiboko wa huyo TB Joshua kupitia hayo maneno yake verbatim.
Kwa sababu huenda aliangalia opinion polls na kuona kuwa Banda hawezi kushinda na hivyo kujitosa katika kujifanya anatoa utabiri kumbe wala mwenzenu kawazidi ujanja tu.

Mkuu fikra za wahariri wa sampuli hii ndizo zilizopelekea headlines kubwa kubwa kwenye magazeti kipindi cha Babu wa Loliondo.Hawa hawakujishughulisha kuhusu mambo scientific.Wanapenda mambo rahisi rahisi yasiyohitaji logic na critical thinking.
Hebu naomba huo utabiri wa Mama Joyce Banda kushindwa. Naomba verbatim kabisa.
Maana nataka nilinganishe na opinion polls za kabla ya uchaguzi.
Manake bongo mtu kuwa kiboko, kichwa, au genius wala huhitaji kufanya lolote la ajabu.
Waweza andika Kiingereza cha maneno ambayo hayatumiki sana katika maongezi ya kawaida ya kila siku (hata kama hakijanyooka kisarufi) na ukaonekana genius...
Tuna viwango vya chini mno....ndo maana nataka niuone huo ukiboko wa huyo TB Joshua kupitia hayo maneno yake verbatim.
Kwa sababu huenda aliangalia opinion polls na kuona kuwa Banda hawezi kushinda na hivyo kujitosa katika kujifanya anatoa utabiri kumbe wala mwenzenu kawazidi ujanja tu.
tofautisha unabii na maonoukienda malawi kuna wananchi waliotabiri kuanguka kwa bi banda,sasa na wao tuwaite viboko?
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
Marekani mtu kuwa genius mnatumia vigezo gani? Ulishawahi fanya IQ test?Manake bongo mtu kuwa kiboko, kichwa, au genius wala huhitaji kufanya lolote la ajabu.
Waweza andika Kiingereza cha maneno ambayo hayatumiki sana katika maongezi ya kawaida ya kila siku (hata kama hakijanyooka kisarufi) na ukaonekana genius...
Tuna viwango vya chini mno....
Halafu hata kama alitabiri kweli kwa namna ambayo huyu jamaa anataka watu wamkubalie,cha ajabu ni kipi?
Hivi "ajabu" maana yake ni hii kweli?
Halafu inawezekana huyu mtu ni mtu wa dini
Kwenye dini tunaambiwa kuwa "hakuna kinachoshindikana kwa Mungu",hii ina maana kuwa hakuna cha ajabu
Sasa huyu jamaa ni kwanini hili ni ajabu wakati hakuna cha ajabu kwenye dini?