TB Joshua Building: IS it a controlled demolition Or Structural failure?

TB Joshua Building: IS it a controlled demolition Or Structural failure?

Status
Not open for further replies.
Inamaana hujasoma mada,au?

Mada haijibu swali langu. Mada inauliza tuu is it a controlled demolition or structural failure?

Mleta mada anadai kuwa "The TB Joshua footage has convinced [him/her] that, The SCOAN Building is simply not a result of structural failures."

Kwa hiyo, mleta mada ndiye aliyefanya uchunguzi? AU Emmanuel TV ambayo mleta mada anadai ameangalia ndiyo iliyofanya uchunguzi rasmi?

Au unataka tu-convert personal opinion based on what has been shown by the Emmanuel TV into a full and thorough investigation?

Halafu mleta mada anatuwekea jengo la Bangladesh kujustify his personal opinion.

Kwani ni nini hasa kilisababisha jengo la Bangladesh kuanguka?

Nalo lilikuwa linaongezewa ghorofa nyingine juu likaelemewa na kuanguka?

Halafu mna haraka gani? Si msubiri tuu uchunguzi rasmi ukamilike?
 
Wacha aseme hawezekani wakati imewezekana sijui ambacho hata yeye mwenyewe hakioni ni kipi..friji kuwa unga anafahamu uzito wa jengo na uwezo wa friji kuhimili?, imani kidogo tu kama punje ya haridari itakupa uwezo wa kuamuru mlima kuhama.... ameanza kusahau kwamba kila kitu kinawezekana, binadamu bwana yakitukuta kweli unachanganyikiwa.

Ikiwa Japan maji yalitoka baharini na kuvamia mji kwa urefu wa mita 150 kutoka usawa wa bahari hili nalo ni la kumsitaajabisha? kweli maajabu yameisha, asipoteze imani kuna factors nyingi sana za kiuhandisi zilizopo kati kuporomoka kwa majengo.

Hii ni controlled demolition .......TB Joshua mwenyewe anasema haiwezekani structural failure alafu hadi AC na friji zilizokuwemo kuwa unga kabisa........makosa yanaweza kufanyika kwasababu chenye mikono ya binadamu hakikosi makosa lakini kwa case hii kuna kitu cha ajabu kimefanyika ........muda utaongea .....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom