Tb Joshua alivyonipa utajiri

TB Joshua ni mchawi tu kama wengine huko Nigeria.

Bora sisi wapagani

Tuthibitishie mkuu. Great thinker ni lazima awakashfu au awadhalilishe watu.....! Mod sijui mnafanya kazi gani nyie
 

Watu tuna testimony nyingi tu..watu wanadhani TB JOSHUA ni kama wa huku kwetu waliojawa na tamaa na sio God's opinion..

Hongera sana mkuu
 
milion 2 ndani ya miezi 3 ni milioni 180 (2 mara 90 = 180)! Inawezekana vipi kwa milion 180 uweze kununua fuso 2, coasta 3 pia ujenge nyumba 2, restraurant 3? Innocent chacha hebu fafanua vizuri.
Nilivyomuelewa mtoa mada ni mpinzani mkubwa wa kile anachofanya TB Joshua na wafuasi wake.Soma tena vizuri kisha tafakari,utajua yupo upande upi.
 
Last edited by a moderator:

Mambo za tb Joshua hzo duuu
 

Teh teh...! Damu ilibaki kidogo TBJ akadilute na maji ili itoshe kunyweshwa Zombiz wote...!
Hadi huruma!
 

Kama ujatuadaa nasema Yesu mkubwa,ila kama vinginevyo waogo na wazinzi sehemu yao ni katika shimo la moto.
 

Soma biblia kaka acha upotoshaji
 

Sorry kwa kukuita akili mgando unayewaza kwa kutumia pua,ubongo huko tumboni,usipende kuchanganya mambo.ya mbowe ni full na vyombo vya kazi.ie speaker,generator nk.
 
Annointing Water ni Bure kama unasikiliza Emmanuel TV. Na kuna Tangazo linalojirudiarudia Mara kwa Mara likisisitizia kuwa "Annointing Water hupatikana Bure"
 
acheni ujinga TB.J ni mtumishi wa MUNGU think big peoples but kwa habari ya anoiting water siyaamini kabisa coz kuna mtu alipewa hakupona but alienda NGURUMO YA UPAKO akapona saa ile ile na ilitokea infront of my own eyes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…