TB Joshua akamatwa!

TB Joshua akamatwa!

Status
Not open for further replies.
Sasa kama kwake au kwako wote munamwita TB ni Mtumishi na kama hilo halina shida kwa nini aje hapa kutuaminisha sisis tusiomwamini ???
Mimi nahoji hayo maswali na nimesema atoe reference kutoka kwenye bible labda hawezi kutoa kwenye bible .
Kama na wewe unaweza basi nisaidie utoe kwenye bible ushahidi ambapo Mungu aliyehai alikusanya watu harafu wakafa zaidi ya 100.
Mimi nitakupa ushahidi ambapo shetani alikusanya watu wakamuasi Mungu harafu wote wakaangamia!!
Hususani huo ni ushahidi wa dhati kuwa TB amekuwa anakusanya watu kwa misingi ya dhabi na sasa wana angamia !!
Sasa hiyo ni taa nyekundu!!!

KING KOBRA;Pole sana. Mtume Yohana anaandika kwenye kile kitabu cha Injili ya Yohana kuwa kuna mambo mengi tu aliyoyafanya Yesu na kama yote yangeandikwa vitabu vyote visngeliwezekana kuhifadhiwa.
Kama ni mahali palipo andikwa ambapo Mungu alikusanya watu (aliruhusu) watu wakusanyika halafu akaruhusu wauawe wote ni sehemu nyingi tu katika bublia ila nakikumbuka kisa kimoja cha Samson Mnadhiri wa Mungu. Baada ya toba yake na kilio chake, Mungu alimrudishia nguvu zake ili awaue Wafilisti (Wapalestina wa leo). Walikuja kumdhalilisha Samson. Neno la Mungu linasema, watu alio waua Samson siku hiyo moja tu walizidi wale alio waua wakati wa nguvu zake. Hio si moja tu katika habari za neno la Mungu kuonesha kuwa Mungu hazuiwi na lolote.
Nikuulize swali lingine la kizushi tu; Tuseme weye Mungu wako asingeweza kuzuia hayo yasitokee? Kama angeweza, mbona aliruhusu? Usicheze na uwezo wa Mungu.
 
hahahaha una macho au matoke? hahaha hukuona kuwa kanisa ndo linafurika mara dufu saivi hahaha, wageni ndo hadi booking ipite ni miezi hahahaa. eti imefikia ukomo au wewe macho yako yamefikia ukomo?

POLEEEEEE!!!!!!! Endelea kujidanganya!!!! Hata Babu wa Loliondo alisema kwamba umati wa kutisha zaidi ungekwenda kwake tena. Mpaka kesho, hilo halitakaa litokee tena! Huduma ya Joshua ilijengwa kwenye mchanga: Kutabiri maafa!!!! Nani mjinga atakayemsikiliza tena Joshua akitabiri maafa, baada ya Jengo lake mwenyewe kuanguka na kuua watu 115, bila Joshua mwenyewe kutabiri juu ya hilo kabla???? Ni wewe tu kibaraka wake!!!! Huduma ya TB Joshua kwa kuwa ilitoka kwa Ibilisi, imefikia kikomo, kama huduma za Theuda na Yuda Mgalilaya, katika Biblia (MATENDO 5:36-37). Thread na post zako nyingi hapa, haziwezi kusaidia: "Tazama yuavunja, wala haiwezekani kujenga tena" (AYUBU 12:14).
 
KING KOBRA;Pole sana. Mtume Yohana anaandika kwenye kile kitabu cha Injili ya Yohana kuwa kuna mambo mengi tu aliyoyafanya Yesu na kama yote yangeandikwa vitabu vyote visngeliwezekana kuhifadhiwa.
Kama ni mahali palipo andikwa ambapo Mungu alikusanya watu (aliruhusu) watu wakusanyika halafu akaruhusu wauawe wote ni sehemu nyingi tu katika bublia ila nakikumbuka kisa kimoja cha Samson Mnadhiri wa Mungu. Baada ya toba yake na kilio chake, Mungu alimrudishia nguvu zake ili awaue Wafilisti (Wapalestina wa leo). Walikuja kumdhalilisha Samson. Neno la Mungu linasema, watu alio waua Samson siku hiyo moja tu walizidi wale alio waua wakati wa nguvu zake. Hio si moja tu katika habari za neno la Mungu kuonesha kuwa Mungu hazuiwi na lolote.
Nikuulize swali lingine la kizushi tu; Tuseme weye Mungu wako asingeweza kuzuia hayo yasitokee? Kama angeweza, mbona aliruhusu? Usicheze na uwezo wa Mungu.
Usiseme kuwa kuna mahali kama kweli wewe ni mwanafunzi wa Yesu weka andiko hapa tusome !!!
Unaficha nini ??
 
KING KOBRA;Pole sana. Mtume Yohana anaandika kwenye kile kitabu cha Injili ya Yohana kuwa kuna mambo mengi tu aliyoyafanya Yesu na kama yote yangeandikwa vitabu vyote visngeliwezekana kuhifadhiwa.
Kama ni mahali palipo andikwa ambapo Mungu alikusanya watu (aliruhusu) watu wakusanyika halafu akaruhusu wauawe wote ni sehemu nyingi tu katika bublia ila nakikumbuka kisa kimoja cha Samson Mnadhiri wa Mungu. Baada ya toba yake na kilio chake, Mungu alimrudishia nguvu zake ili awaue Wafilisti (Wapalestina wa leo). Walikuja kumdhalilisha Samson. Neno la Mungu linasema, watu alio waua Samson siku hiyo moja tu walizidi wale alio waua wakati wa nguvu zake. Hio si moja tu katika habari za neno la Mungu kuonesha kuwa Mungu hazuiwi na lolote.
Nikuulize swali lingine la kizushi tu; Tuseme weye Mungu wako asingeweza kuzuia hayo yasitokee? Kama angeweza, mbona aliruhusu? Usicheze na uwezo wa Mungu.
Weka andiko hapa maana bila andiko utakuwa utakuwa unatapeli tu watu hapa!!
 
Tangu tukio la kuanguka jengo litokee, TB Joshua ameonekana kuwa mwenye uchungu sana hali iliyopelekea awe mbele za Mungu kwa wakati wote.

Kitendo hicho kimepelekea TB Joshua kukamatwa na nguvu ya Mungu mara dufu, sasa anatisha sana! Shetani anasota mno, hata akikuombea kwa TV tu unapokea nguvu ya ajabu hapohapo. Hatari sana! Karibuni naangalia ujumbe wake wa jumapili ya tukio alioutoa.

Emmanueeeeeeeeeel-God with us!
Nebukadreza naye alikuwa Mtumishi kama TB
Sasa Ngome ya bibeli inapigwa!!!
 
Tangu tukio la kuanguka jengo litokee, TB Joshua ameonekana kuwa mwenye uchungu sana hali iliyopelekea awe mbele za Mungu kwa wakati wote.

Kitendo hicho kimepelekea TB Joshua kukamatwa na nguvu ya Mungu mara dufu, sasa anatisha sana! Shetani anasota mno, hata akikuombea kwa TV tu unapokea nguvu ya ajabu hapohapo. Hatari sana! Karibuni naangalia ujumbe wake wa jumapili ya tukio alioutoa.

Emmanueeeeeeeeeel-God with us!
TB Joshua anapigwa bakora hapa Mwenye masikio na asikie!!!!

[h=2]Hakuna dawa , TB Joshua na kazi zake za uongo lazima zikome [/h]Babeli ina pigwa viboko Ulimwengu ujue kuwa hapo palikuwa chukizo la uharibifu na siri nyingi zitaibuka
[h=2][/h]
10653744_800015986707482_4240973878935191888_n.jpg

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom