Mtumishi wa Mungu.
Member
- Aug 16, 2014
- 59
- 48
- Thread starter
- #21
Wewe kibaraka wa TB Joshua unayekesha hapa kujaribu kumsafisha TB Joshua, nakuambia unajidanganya mwenyewe. Mungu hadhihakiwi, kama udanganyifu wa Babu wa Loliondo ulivyofikia kikomo, vivyo hivyo udanganyifu wa TB Joshua umefikia kikomo. Mungu wa kweli ameipiga chini huduma ya nabii huyu feki, wala haiwezi kusimama tena!!! Biashara yake ya kutabiri maafa, na biashara yenu ya kuuza maji yake ya upako wa Ibilisi, imedoda!!!! Tafuteni biashara nyingine!!!!
hahahaha una macho au matoke? hahaha hukuona kuwa kanisa ndo linafurika mara dufu saivi hahaha, wageni ndo hadi booking ipite ni miezi hahahaa. eti imefikia ukomo au wewe macho yako yamefikia ukomo?