1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,682 Reaction score 4,343 Oct 27, 2016 #1 amkeni jamani..
tuusan JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 17,973 Reaction score 20,223 Oct 27, 2016 #2 [emoji42][emoji42][emoji42] Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
bowlibo JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 3,209 Reaction score 2,920 Oct 27, 2016 #3 sina hakika kama tutabadilika toka maisha ya kinyani
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Oct 27, 2016 #4 Naona kama nimeingia cha kike, anayejua wapi na wapi anielekeze.
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,120 Oct 27, 2016 #5 MK254 said: Naona kama nimeingia cha kike, anayejua wapi na wapi anielekeze. Click to expand... Wee, hujui kuwa tulipata UHURU mwaka 1961 Dec 09 ?
MK254 said: Naona kama nimeingia cha kike, anayejua wapi na wapi anielekeze. Click to expand... Wee, hujui kuwa tulipata UHURU mwaka 1961 Dec 09 ?
phamtom Member Joined Oct 12, 2016 Posts 33 Reaction score 26 Oct 27, 2016 #6 Nimevitumia sana vyoo vya namna hyo kwenye train ya reri ya Kati na wahusika wapo na wana chukua nauli hawaoni hata aibu kwa huduma mbovu
Nimevitumia sana vyoo vya namna hyo kwenye train ya reri ya Kati na wahusika wapo na wana chukua nauli hawaoni hata aibu kwa huduma mbovu
hashim mwamba JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 1,018 Reaction score 1,105 Oct 27, 2016 #7 Izo picha mbn km y zaman
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,731 Oct 27, 2016 #8 Kumbe Gogo ndio lina mwonekano huo kwa ndani [emoji54][emoji54]
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Oct 27, 2016 #9 mbele kwa mbele