TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

Watanzania wakimchukia mtu hata afanye nini kizuri kitaonekana kibaya hakina maana hakifai, ila wanasahau benefit zake kwa taifa zima, tulilalamika foleni, msongamano wa magari pale tazara, haya kaja jiwe kaweka hiyo "flyover/overhead bridge/au chochote unachotaka kuuita" ili kupunguza msongamano bado watu tunabeza...ooh hilo nalo flyover nenda nchi za mbele uone flyover..., Sisi hatupo mbele tunajaribu kusolve matatizo yetu kwa mazingira yetu tukubali mazuri kuwa ni mazuri tuyatumie, hata km tunamchukia jiwe ila anafanya vitu vingine vya msingi, tusiwe mahaters kwasababu tu tunahate, ila ni changamoto tu hizi, mtanzania aliyejengewa vyoo vizuri vya uwanja wa taifa akaenda kuiba koki ilimradi tu anaweza sasa mtu km huyo na halaiki yake ndo anasababisha jamii ya wabezaji
Tukubali manufaa, yanatusaidia wenyewe
 


Kukusahihisha siyo ,,Watanzania wakimchukia" mtu bali sema chadema wakimchukia mtu, kwa maana Watanzania wengi hatumchukii mtu yoyote, mambo ya chuki ni chadema!
 
Unaelewa maana ya neno la kiingereza ,,flyover" ?

Haya bishana pia na wikipedia

Flyover - Wikipedia

Acheni kufanya maisha yawe magumu kuliko uhalisia, neno lenyewe linajieleza labda kama hauelewi maana ya neno ,,flyover"
Bado watu watabishia hata wikipedia, ilimradi tu tubishebishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukusahisha siyo ,,Watanzania wakimchukia" mtu bali sema chadema wakimchukia mtu, kwa maana Watanzania wengi hatumchukii mtu yoyote, mambo ya chuki ni chadema!
Jamaa hata akichimba visima tanzania nzima bado kuna wataalam na wanasayansi binafsi watatoa takwimu hapa kuwa visima ni uharibifu wa mazingira, tuache mambo yafanyike tu maana mazuri ni mazuri tuu yanaonekana
 
Barbarosa at his best.

Unaleta mada halafu unakuwa umejiandaa kuitetea mpaka kieleweke.

Wakuu wengine mkubali tu hiyo ndio TAZARA Flyover.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
haters watakufa kihoro mwaka huu kwa chuki!


Tunawashukuru walipa kodi wa Japan kwa kugharamia kwa 90% huo ujenzi wa Kivuko, kinasaidia watawala wetu wasipate shida ya foleni wakiwa wanatokea kupata ushauri wa kuongoza nchi kutoka Rwanda, Burundi na Uganda.
 
Kwani JIWE kafanya nini hapo ?
 
Hiyo ni flyover tukubali tukatae, maana km ni kama vile tunakariri flyover mpaka iwe km zile za china au south africa, zile ni interchanges, ila ya tazara ni flyover tubishe tuu ila ni flyover, sasa tunabisha wakati ipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…