Katika maisha yangu ingawa sijawahi kutumia usafiri wa reli kwa Tanzania, lakini niliamini kuwa reli ya Tazara ni bora na walau kidogo unaweza kumpeleka mgeni wako lakini hiki kipindi cha jana BBC 4 wamemwaga radhi kabisaaaaaaaa sasa kama hii ni TAZARA vipi TRL?
Niliandika nakiwaza kiuno kisicho namfupa cha RAY C. Kumbe wee ni RAY B. Sawa mkuu, wewe ni BWANA siyo? Tuendelee na mengine na samahani kwa usumbufu ulioupata.
Nadhani ingeleta maana sana kama ingeweza kuwa available in full. Au Ray B tupe japo kwa muktasari ili tuelewe kiundani, till maarifa yapo fanywa na wengine kuhakikisha tunaipata
Proxies zinapatika online, ukitafuta google " free elite uk proxies"
utapata ambazo unaweza kuweka kwenye browser yako. Proxy
huwa zina mfumo huu IP😛ort
Ukisha iweka kwenye browser utakuwa unaonekana kama uko UK
hatakama wewe uko Tanzania au US, kompyuta haitajua (connection
will be tunneling through proxy). Ila hakikisha ume safisha cookies/cashe
Kama hujui proxy nini au jinsi ya kuiweka kweye browser basi
nenda kweye hii website ili u-download software ambayo itabadilisha
proxy kweye network yako. Unaweza chagua proxy za UK, Canada, US,
Hong khong n.k
Hii program unalipia lakini unaweza kutumia bure kwa siku 14.