Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Hii ni biashara ya wizi dhidi ya waja wa mola wamiliki wa youtube.
 
Kiongozi Unasema Kuangalia Video Bila Kuwasha Data, which Means Haina Haja ya kuwa na MB sasa Ukija Kusema Unaitaji MB kadhaa Ili kuqeza Kuangalia Video hapo Tayar Inakuwa Haina maana Ya kuwa Unaaangalia Bila data, hata Iyo App yako nayo Inaitaji data Ili iweze kufanya kazi so still bado hamna lolote apo.. Badilisha Headingi iyo na Iwe KUANGALIA VIDEO YOUTUBE NA MB NDOGO
 
Wakupe bure umekua nani??
 
Acheni kuwadanganya watu ili waangalie chanell zenu
 
Ningekuwa Nahitaji Views Sidhani Kama Ningeweza Bayana Namna inavyofanya Kazi.

Kisha Hii App ni ya YouTube Wenyewe, Cheki Walivyosema Hapo [emoji116] [emoji116]
 
TITLE : Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Hatua ya Kwanza : Washa Data.

Duuu.. kazi ipo haha, kiku kingine pia mtu akikuambia siku zote kuwa hii ni 100%.. huwa sio kweli.
Title Ningewekaje?
 
Ukiona Hii Haikufai, Tumia Inayokufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…