Ni dhami? Chamuhimuumeona reaction ya wananchi wake?amefanya hivyo kumgeza Papa
Yule jamaa wa msata lazima ataiga tu
Hao watu wameandaliwa mkuu, mnyamugi kama mimi siwezi kuingia kwenye huo ulinzi.
Umeona wana usalama walivyojipanga? Inaonesha jinsi gani hyo imepangwa.
Papa ndiye anayemgeza Onyangoamefanya hivyo kumgeza Papa
Yule jamaa wa msata lazima ataiga tu
Ulijuaje?
PERU aU BoliviaMbona kuna rais alikuwa anatembelea baiskeri na hakuwa na ulinzi?? Hivi raisi wa nchi gani vile ?? Wanasema ni raisi maskin na ktk asilimia flan ya mshahara wake alikuwa anachangia kodi ya taifa lake
PERU aU Bolivia
PERU aU Bolivia
Ha ha ha naskia huwa ana endaga billcanas.Yule jamaa wa msata lazima ataiga tu
sawa tumemuona kwaheri