Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,353
Reaction score
23,758
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani alikuwa ameongozana na kuambatana na Mawaziri wenzake ambao muda wote walionekana kumsikiliza kwa umakini na kwa ukaribu kabisa yale aliyokuwa akizungumza kwa msisitizo na ishara.

Ikumbukwe na kufahamika ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete yeye Ikulu siyo mgeni na wala siyo mahali ambapo anaweza kupotea hata umeme ukiwa umepata hitilafu. Kwa sababu mahali hapo ameshinda sana na kuingia sana na kukaa sana wakati Baba yake mzazi wa kumzaa kabisa alipokuwa Rais Wa Awamu ya Nne wa Taifa letu hili pendwa na lenye kupendwa na watu wote Duniani kama kisiwa cha amani na utulivu.

Kwa hiyo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete anaingia mahali na sihemi anapopajua na kufahamu kabisa pengine hata mpangilio wa vyumba ulivyokaa na vinjia vyote vya kukatisha mazingira hayo. Ndio Maana unaweza kuona hata tembea na muonekano wake ni wa kujiamini sana. Ni mtu ambaye ukimuangalia unaona kabisa ni kana kwamba Moyoni anasema siku moja nitakuwa hapa kama Nyumbani na makazi yangu ya Amiri jeshi Mkuu kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania wote.

Lakini cha kushangaza pamoja na kukaa hapo na kuingia hapo tangia baba yake akiwa Rais kwa miaka Kumi mfululizo ,lakini huoni Mheshimiwa akiringa au kuwa na dharau au kiburi au majishauzi. Yeye ni mtu wa watu na mwenye kuzungumza na wote. Ndio Maana hata hapo unaweza kuona ameambatana na kundi la Viongozi wenzake wakiwa wanazungumza kwa pamoja na kwa unyenyekevu mkubwa sana.

Hana ulimbukeni wa madaraka wala kulewa madaraka. Kwake ni mambo ya kawaida na ni utumishi kwa watu. Ni Dhamani ya kuwahudumia watu,ni nafasi ya Kugusa Maisha ya watu.

Huyu Mheshimiwa msikivu sana. Lakini anawakosha wengi sana kwa namna alivyo na heshima ,utii na unyenyekevu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa. Kwa hakika Mheshimiwa Rais hakukosea kumuamini na kumpatia nafasi ya Uwaziri katika Baraza lake la Mawaziri.

Wakati angekuwa mwingine angekuwa anavimba mashavu utafikiri puto linalotaka kupasuka. Lakini huyu yeye hana mambo hayo. kwa hakika Mungu huangalia sana atakapo kumuinua mtu . Maana wengine angewainua au wakainuliwa wanageuka kuwa laana na Mateso kwa watu. Wanageuka kuwa makatili na wasio na huruma kwa watu.

Cheo kinageuka kuwa fimbo ya kuwachapia wengine ,kuumiza wengine,kuwaliza na kuwabubujisha machozi ya huzuni wengine.kulipa visasi na malipizi yasiyo na msingi. kukomoa watu na na kufanya mioyo ya watu itoe machozi muda wote.
Screenshot_20250622-213650_2.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani alikuwa ameongozana na kuambatana na Mawaziri wenzake ambao muda wote walionekana kumsikiliza kwa umakini na kwa ukaribu kabisa yale aliyokuwa akizungumza kwa msisitizo na ishara.

Ikumbukwe na kufahamika ya Kuwa Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete yeye Ikulu siyo mgeni na wala siyo mahali ambapo anaweza kupotea hata umeme ukiwa umepata hitilafu. Kwa sababu mahali hapo ameshinda sana na kuingia sana na kukaa sana wakati Baba yake mzazi wa kumzaa kabisa alipokuwa Rais Wa Awamu ya Nne wa Taifa letu hili pendwa na lenye kupendwa na watu wote Duniani kama kisiwa cha amani na utulivu.

Kwa hiyo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete anaingia mahali na sihemi anapopajua na kufahamu kabisa pengine hata mpangilio wa vyumba ulivyokaa na vinjia vyote vya kukatisha mazingira hayo. Ndio Maana unaweza kuona hata tembea na muonekano wake ni wa kujiamini sana. Ni mtu ambaye ukimuangalia unaona kabisa ni kana kwamba Moyoni anasema siku moja nitakuwa hapa kama Nyumbani na makazi yangu ya Amiri jeshi Mkuu kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania wote.

Lakini cha kushangaza pamoja na kukaa hapo na kuingia hapo tangia baba yake akiwa Rais kwa miaka Kumi mfululizo ,lakini huoni Mheshimiwa akiringa au kuwa na dharau au kiburi au majishauzi. Yeye ni mtu wa watu na mwenye kuzungumza na wote. Ndio Maana hata hapo unaweza kuona ameambatana na kundi la Viongozi wenzake wakiwa wanazungumza kwa pamoja na kwa unyenyekevu mkubwa sana.

Hana ulimbukeni wa madaraka wala kulewa madaraka. Kwake ni mambo ya kawaida na ni utumishi kwa watu. Ni Dhamani ya kuwahudumia watu,ni nafasi ya Kugusa Maisha ya watu.

Huyu Mheshimiwa msikivu sana. Lakini anawakosha wengi sana kwa namna alivyo na heshima ,utii na unyenyekevu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa. Kwa hakika Mheshimiwa Rais hakukosea kumuamini na kumpatia nafasi ya Uwaziri katika Baraza lake la Mawaziri.

Wakati angekuwa mwingine angekuwa anavimba mashavu utafikiri puto linalotaka kupasuka. Lakini huyu yeye hana mambo hayo. kwa hakika Mungu huangalia sana atakapo kumuinua mtu . Maana wengine angewainua au wakainuliwa wanageuka kuwa laana na Mateso kwa watu. Wanageuka kuwa makatili na wasio na huruma kwa watu.

Cheo kinageuka kuwa fimbo ya kuwachapia wengine ,kuumiza wengine,kuwaliza na kuwabubujisha machozi ya huzuni wengine.kulipa visasi na malipizi yasiyo na msingi. kukomoa watu na na kufanya mioyo ya watu itoe machozi muda wote.View attachment 3379126

😁😁don't fool yourself, it just .....Stupid creatures🙄🙄🙄 in side the black suit
 
Mbona wewe unalinga na majivuno kibao ila ukoo wenu wote hakuna ashawahi kuwa hata mjumbe wajumb kumi, wewe makelele kibao JF kisa upambe mavi tuu
 
Back
Top Bottom