23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
CCM wanajidanganya na majitu humu JF eti Chadema imekufa. Nina uhakika ukitangaza lolote kujiunga na cdm kutajaa mafurikoHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
HALAFU VINAWASAIDIA NINI LABDA UNAJUWA MFANYE VITU VYENYE MANUFAA KWA HAO WATU MNAWAPOTEZEA MUDA USIO NA MAANAHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
hilo ukiwashauri watakuona msaliti wakati ndiyo nia ya kuwasaidia halafu ungewaandikia na kwa kiswahili maana chadema wengi elimu hakuna yaani mbumbumbu23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!
hahaha, hawa nazichadema ni vihoja na vituko kila siku . duh hahahaWatu kumi unakuwa msululu?
lakini wataendelea kuwa wapinzani maana madaraka kuyapata kwao ni ndotoCCM wanajidanganya na majitu humu JF eti Chadema imekufa. Nina uhakika ukitangaza lolote kujiinga na cdm kutajaa mafuriko
Kwa kichekesho kingine kama hiki tafadhali piga *150*00 kisha ErythrocyteHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
Hata ukisema mtu mmoja, ukweli unabaki kuwa ukweli, kilichopo ni msururuWatu kumi unakuwa msululu?
Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
23 people on the queue, and its apparent others are mere observers. CHADEMA has to go back to the drawing board and come out afresh!!
Unataka kusema umechungulia mpaka nyuma ya picha?Watu kumi unakuwa msululu?
takataka,lakini wataendelea kuwa wapinzani maana madaraka kuyapata kwao ni ndoto
WAKISIKIA YANAYOENDELEA MAHAKAMANI WATAJIONA HAWANA AKILI KUMSAPOTI GAIDI KAMA MBOWE JAMAA WANAVYOMKAANGA MBOWE AISEE MBOWE GAIDI JAMANIHAKUNA JINSIHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775
WAKISIKIA YANAYOENDELEA MAHAKAMANI WATAJIONA HAWANA AKILI KUMSAPOTI GAIDI KAMA MBOWE JAMAA WANAVYOMKAANGA MBOWE AISEE MBOWE GAIDI JAMANIHAKUNA JINSI
Tuliza mshono mambo ya wanaume haya dada.Watu kumi unakuwa msululu?
Hivi msurulu wa nida unaujua kweliHii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital .
Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
View attachment 1986775