Tazama maajabu ya wavuta sigara

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
Unaweza kushituka au kucheka kidogo ila ukweli hii ndio hali halisi ya watu hawa.

1457876568524-jpg.329481
 

Attachments

  • 1457876568524.jpg
    1457876568524.jpg
    43.4 KB · Views: 193
Unaweza Kushituka Au Kucheka Kidogo Ila Kiukweli Hii Ndo Hali Halisi Ya Watu Hawa
Kwa mfano, we umekufa na mapafu yako mazima na mvuta sigara kafa na mapafu yake meusi na yana matobo.... utakuwa na kazi nayo gani hayo mapafu yako yasiyotoboka..?
 
Sigara ni rafiki mzur sana bt madhara yake ni makubwa mno!! Namshukuru Mungu nilisha itema kitambo sana!
 
Back
Top Bottom