Quinty
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 462
- 74
Wanajamvi hili nimeshindwa kulipatia majibu ya msingi naomba nieleweshwe ni kwanini hakuna umakini katika kuandaa hizi vitu halafu eti mkuu wetu anashika na anapiga picha na meno anatoa kufurahia...hakuna washauri au watu wakufuatilia..maana haiwezekani makosa yafanyike zaidi ya mara moja. Hizo cheque tarakimu na maneno tofauti kabisa...kama hakuna umakini kwa mambo madogo kama haya je makubwa ya kuongoza nchi na familia inakuwaje...? Si ndo matokeo ya kutuingiza mkenge kwenye mikataba feki maana hakuna umakini.