Tazama kinachoendelea bungeni kwa sasa

Tazama kinachoendelea bungeni kwa sasa

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
919
Reaction score
517
wabunge waja na stayle mpya
1462440688711.jpg
 
hyo
 
Attachments

  • 1462441305355.jpg
    1462441305355.jpg
    25.7 KB · Views: 97
Mbona ni wabunge wa CCM hawa?
Wanajirekodi wao wenyewe ili kuzirusha picha kwa mitandao baada ya Nape kufungia bunge live. Tabu yoote ya nini. Hii inaonesha wana nidhamu ya woga, wanashindwa kulisemea matokeo yake huyo mwakilishi mwingine badala ya kufanya kile alichotumwa na wananchi wake anafanya kazi ya kumrekodi mwenzake.
 
Tulishalijadili hili humu jf, political gain iko zaidi kwenye media. UKAWA wao waliamua kuwa tu wazi, lakin hata wabunge wa CCM sidhan kama linawapendeza.
 
Wanajirekodi wao wenyewe ili kuzirusha picha kwa mitandao baada ya Nape kufungia bunge live. Tabu yoote ya nini. Hii inaonesha wana nidhamu ya woga, wanashindwa kulisemea matokeo yake huyo mwakilishi mwingine badala ya kufanya kile alichotumwa na wananchi wake anafanya kazi ya kumrekodi mwenzake.
Hawa wabunge ni wapumbavu, tunachotaka sisi ni matokeo ya mijadala yao,je, inaleta impact gani kwa jamii? Shida yetu siyo kuwaona wao, kwa kuwa Mbunge anaweza kuchangia hata kwa maandishi bila kuonekana kwa vyombo vya habari, lakini kama mchango wake unalipa tutaona maendeleo kwa waanchi. Kinachotakiwa ni maendeleo, sidhani kama kuonekana kunwasaidia wananchi ila kunawasaidia wabunge wenyewe kwa kujitangaza binafsi marketing of themselves.
Jambo la pili ni kuwa Bunge lilipokuwa likionyeshwa wabunge walilitumia vibaya kwa kutoa lugha ya matusi bungeni
 
Maigizo wakati wa 'kugoma' na kutoka nje ya bunge au kutishia kupigana na askari walioamuriwa kumtoa 'mheshimiwa' nje yanapendeza yakiwa 'live' bana!siasa za kuonekana magazetini na kwenye tv kwa 'stoies' na skendo ni za kipuuzi..na chama kinachopigania siasa hizo hakiwez kamata dola mpaka kikomae kutoka kua 'chama cha harakati' na kua kiko tayari kutawala
 
Jana usiku kuna mbunge mmoja mwanamke alikuwa akiongea kama ana aibu hivi, sijui ni mbunge wa wapi yule?
 
Back
Top Bottom